muwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Wa Kuchumila

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti. Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  4. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
  5. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji muwekezaji katika video production!!

    Naitwa Andrew naishi Dar es salaam,nafanya video production na picha najitaji muwekezaji wa kufungua ofisi kwa mkataba atakaekuwa tayari namba yangu hii-0774179495 au anicheki DM
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  8. wanchijiko

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa dhahabu unatafuta muwekezaji au mnunuzi mkoa wa Mtwara

    RIPOTI FUPI YA UHITAJI WA UWEKEZAJI AU MNUNUZI WA MGODI WA DHAHABU Historia: mgodi una leseni PMLs na ziko tatu zilizo ungana pamoja Mgodi ulianza rasmi shughuli za uchimbaji mwaka 2019. Ni mgodi mpya ambao bado haujafikia uchimbaji wa kina, kwani uchimbaji upo kwenye miamba laini karibu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamati yafichua wananchi waliopigwa risasi na kujeruhiwa na muwekezaji

    kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  12. Loudspeaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji wa Golden Feldspar itokayo Tanga

    Hello, Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya. Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine. Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe anachochea mgogoro kati ya muwekezaji wa Makoa Farm na Wananchi

    Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039. Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Udhibiti mahiri wa miradi ya Taifa ni Bora kuliko kumpa muwekezaji

    Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji? Naam JIBU ni kwamba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Coco Beach kuwa eneo la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira

    #HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira. ======= Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
  20. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji. Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni. 1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
Back
Top Bottom