mbunge wa kawe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  2. GENTAMYCINE

    RC wa Dar Makala na Mbunge wa Kawe kinachoendelea Kituo Tanganyika Packers Kawe kitafanya nikose Uvumilivu nanyi

    Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa. Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
  3. J

    Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
  4. Replica

    Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

    Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    #COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

    Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  8. Mmawia

    Mbunge Gwajima, wana Kawe bado tunaisubiria treni uliyotuahidi

    Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho. Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako. Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni. Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo...
  9. Miss Zomboko

    Askofu Gwajima: Nchi ni lazima iwe na maono ya kimaendeleo kwa miaka mingi. Tunafanya mambo kwa kukimbia kimbia tu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi. Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
Back
Top Bottom