Mbunge Gwajima, wana Kawe bado tunaisubiria treni uliyotuahidi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.

Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.

Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.

Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.

R.I.P Magufuli

Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
 
Ukumwita mchungaji utakuwa unamvunjia heshima.

Huyu ni baba Askofu aliyetukuka.

Askofu mtaalam wa kukata mauno juu ya kikojoleo cha muumini wake.

Kama wewe unasubiria treni, wenzio pia bado tunasuburia tripu ya kwenda Marekani kwenda kujifunza kuendesha boti za uvuvi tayari kuja kuendesha boti alizosema atawapa bure vijana wa jimboni kwake.
 
Mkuu ubarikiwe sana kwa kunikumbusha hilo na kunitajia baadhi ya sifa muhimu za huyo mbunge
 
R.I.P Magufuli

Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
Kweli unakua kuwa kasi ya kimondo yaani kutoka 6.9 hadi 4.6 hiyo ni kasi ya rocket
 
Taifa hili lina idadi kubwa sana ya wajinga na elimu imeshindwa kutoa ujinga.
Kabisa na kwa njia hii hatuwezi kuupiga vita umasikini ktk familia zetu maana bado kuna watu wanachukua kidogo walicho nacho kwenda kuwachangia kina Gwajima
 
Ukumwita mchungaji utakuwa unamvunjia heshima.

Huyu ni baba Askofu aliyetukuka.

Askofu mtaalam wa kukata mauno juu ya kikojoleo cha muumini wake.

Kama wewe unasubiria treni, wenzio pia bado tunasuburia tripu ya kwenda Marekani kwenda kujifunza kuendesha boti za uvuvi tayari kuja kuendesha boti alizosema atawapa bure vijana wa jimboni kwake.
Eti askofu anaitwa chidi boy
 
Mkuu kwani 'Condom' ikishatumika katika Tendo la ' Kumbandua ' kunakotukuka Mwanamke huwa inakuwa na Faida au Thamani ya Kimatumizi tena?
 
Back
Top Bottom