Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kuwa mjadala unaoendelea kuhusu makala za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) haupaswi kuwa kipaumbele cha serikali, kwani maudhui yaliyoandikwa na chombo hicho ni kidogo sana ikilinganishwa na ukubwa wa...
Hiki kikundi cha wahuni kinachojiita Serikali kumetoa tamko kuhusu mfululizo wa makala kupitia kipindi cha AFRICA EYE DOCUMENTARIES,wanalalamika kwamba BBC haizingatii weledi.
Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini utagundua namna gani sehemu nyeti zinaongozwa na matakataka ambao wanajina maarufu...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa...
Habari wanajf.
Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀.
Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS.
Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa...
Wakati uhusiano kati ya Tanzania na Marekani ukiingia katika kipindi nyeti zaidi katika miaka ya karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amefanya ziara muhimu nchini Marekani inayobeba uzito mkubwa wa kidiplomasia kuliko inavyoonekana juu juu...
Kitendo cha kumfumania mwenzi wa ndoa au uhusiano wa karibu ni moja kati ya mapigo mazito zaidi ya kisaikolojia anayoweza kuyapitia mwanadamu. Katika jamii zetu, tumeshuhudia mara nyingi matukio ambapo fumanizi linageuka kuwa uwanja wa umwagaji damu, mauaji, au ukatili uliokithiri. Wakati...
Habari wakuu?
Nimejlitazama ile makala. Kinachoelezwa mule ni Uzushi na Upotoshaji Mkubwa ambao, ukiiutamza huoni Professionalism ya Journalism. Je, ule ni Mradi?
Cc: Pascal Mayalla
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao.
Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
Ndugu zangu,
Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo.
Hapa...
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa.
Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo.
Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
Ndugu zangu,
Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa.
Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
al jazeera
bbc
cnn
documentary
documentary ya cnn
hadhi
kuandaa
maana
makala
mauaji
mmoja
msigwa
namna
nyingine
post
post election
ripoti
ripoti ya cnn
sana
serikali
tanzania
uandishi
ujinga
upande
uthibitisho
wako
Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini.
Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia.
Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.