#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,693
2,000
20210815_180240127447.jpg

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,827
2,000
Dharau ya wazi kabisa kwa Mwenyekiti wa maccm na maccm wanamuhofia Gwajiboy hakuna wakumgusa. Yule chongo looo alidai wako kwenye mchakato wa kuwashughulikia wanaosema hovyo hovyo Gwajiboy na Polepole lakini hakuna mchakato wala bibi yake mchakato 😂😂😂
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom