gambia

The Gambia ( ), officially the Republic of The Gambia, is a country in West Africa. It is the smallest country within mainland Africa and is surrounded by Senegal, except for its western coast on the Atlantic Ocean. The Gambia is situated on both sides of the lower reaches of the Gambia River, the nation's namesake, which flows through the centre of the Gambia and empties into the Atlantic Ocean. It has an area of 10,689 square kilometres (4,127 sq mi) with a population of 1,857,181 as of the April 2013 census. Banjul is the Gambian capital and the country's largest metropolitan area. The largest cities are Serekunda and Brikama.The Gambia shares historical roots with many other West African nations in the slave trade, which was the key factor in the placing and keeping of a colony on the Gambia River, first by the Portuguese, during which era it was known as A Gâmbia. Later, on 25 May 1765, the Gambia was made a part of the British Empire when the government formally assumed control, establishing the Gambia Colony and Protectorate. In 1965, the Gambia gained independence under the leadership of Dawda Jawara, who ruled until Yahya Jammeh seized power in a bloodless 1994 coup. Adama Barrow became the Gambia's third president in January 2017, after defeating Jammeh in the December 2016 elections. Jammeh initially accepted the results, then refused to accept them, which triggered a constitutional crisis and military intervention by the Economic Community of West African States, resulting in his exile.The Gambia's economy is dominated by farming, fishing, and especially, tourism. In 2015, 48.6% of the population lived in poverty. In rural areas, poverty is even more widespread, at almost 70%.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Gambia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ashtakiwa kwa Ubakaji, Mauaji na Utekaji

    Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016. Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
  2. BARD AI

    TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  3. B

    Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  4. BARD AI

    Gambia yathibitisha kuzima jaribio la kwanza la Mapinduzi ya Serikali

    Mamlaka zimewakamata watu 4 wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Rais Adama Barrow, ikiwa ni tukio la kwanza la uasi tangu amshinde mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh. Pia, Jeshi limetangaza msako kwa Watu wengine watatu wanaotafutwa kwa madai ya kuhusika katika kupanga njama...
  5. BARD AI

    India yasema dawa zilizoua watoto Gambia hazina madhara yoyote

    Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama. Dawa hizo zililalamikiwa na Serikali ya Gambia baada kuwepo ongezeko la Watoto wenye chini ya miaka 5...
  6. BARD AI

    Gambia: Rais asema kila aliyehusika na dawa zilizoua watoto 66 atashughulikiwa ipasavyo

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, tayari Polisi wameanza kuwahoji maafisa wa Idara ya Udhibiti wa Dawa (MCA) na waagizaji Dawa zinazotajwa kusababisha vifo hivyo. Kwenye taarifa ya Ikulu, Rais Adama Barrow amesema tayari wamefuta leseni za waagizaji wa dawa waliotuhumiwa kwenye sakata hilo na...
  7. Lady Whistledown

    Gambia: Dawa za Paracetamol zahofiwa kusababisha vifo vya watoto

    Mamlaka zinachunguza uhusiano wa dawa za paracetamol za kimiminika na makumi ya vifo vya watoto vinavyosababishwa na figo kushindwa kufanya kazi baada ya siku 3 hadi 5 za kutumia dawa hizo Ingawa hakuna idadi rasmi ya vifo hadi sasa, Mkurugenzi wa huduma za Afya, Mustapha Bittaye amesema...
  8. JanguKamaJangu

    Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

    Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili...
  9. Lady Whistledown

    Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

    Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
  10. Lady Whistledown

    Rais wa Zamani wa Gambia kushtakiwa kwa mauaji

    Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20. - Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
  11. beth

    Gambia: Mahakama yatupilia mbali ombi la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Ousainou Darboe aliyepata 28% ya Kura alisema Kampeni za...
  12. beth

    Gambia: Rais Adama Barrow atetea kiti cha Urais, apata 53% ya Kura

    Mamlaka Nchini humo zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28% Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema wasingekubali matokeo ya Uchaguzi huo ambao umeonekana kama kipimo cha Demokrasia katika Taifa hilo...
Back
Top Bottom