Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,016
1,606
Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh

Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA) Yankuba Badjie, Aliyekuwa Mkuu wa Operesheni wa Shirika hilo, Sheikh Omar Jeng, pamoja na Maafisa wa NIA Babucarr Sallah, Lamin Darboe na Tamba Mansary, baada ya kuwapata na hatia ya mauaji ya Ebrima Solo Sandeng, Mwanachama wa Chama cha Upinzani cha United Democratic Party, mwaka 2016

Aidha, Yahya Jammeh bado yuko uhamishoni nchini Equatorial Guinea, ambako alikimbilia mwaka 2017 kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa Desemba 2016 na Rais Adama Barrow

=========

A Gambian court has sentenced five former members of the intelligence service to death for the murder of a political activist during the rule of ex-dictator Yahya Jammeh.

High Court Justice Kumba Sillah-Camara on Wednesday pronounced the sentence against the former head of the National Intelligence Agency, Yankuba Badjie, after finding him guilty of murdering Ebrima Solo Sandeng, an important figure in the opposition United Democratic Party, in 2016.

Badjie was also convicted of bodily harm.
Related

The agency's former operations chief, Sheikh Omar Jeng, as well as NIA officials Babucarr Sallah, Lamin Darboe and Tamba Mansary, were convicted on the same charges and sentenced to death by the Banjul court.

Sandeng was arrested during an April 2016 demonstration against Jammeh. He died in custody two days later after having been beaten and tortured.

His death galvanised a political movement that eventually ousted Jammeh, who had ruled the tiny West African nation for 22 years.

Haruna Susso, another NIA official, and Lamin Sanyang, a nurse, were found not guilty of murder or bodily harm.

The former deputy director of the spy agency, Louie Richard Leese Gomez, had also been accused but has since died.

Another official, Yusupha Jammeh, had been accused but was later acquitted.

'Justice is catching up'

"Justice is catching up to Yahya Jammeh's henchmen in Gambia and around the world and hopefully it will soon catch up to Yahya Jammeh himself," said Reed Brody, a lawyer with the International Commission of Jurists who works with Jammeh's victims.

The trial, which began in 2017, was the only ongoing domestic trial tied to crimes committed under Jammeh's brutal regime.

Previously, Yankuba Touray was tried in The Gambia for the 1995 murder of finance minister Koro Ceesay. He was convicted in July 2021 and sentenced to death, but has since appealed.

Another former Jammeh accomplice, Bai Lowe, went on trial in April in Germany, accused of crimes against humanity, murder and attempted murder.

The former interior minister, Ousman Sonko, has been under investigation in Switzerland since 2017, while Michael Sang Correa, alleged to have been a hitman, was indicted in June 2020 in the United States.

Jammeh has been accused of a range of crimes, including rape, the use of death squads, and of having ordered the disappearances of political enemies. In May, The Gambia's authorities promised to prosecute him.

The government also accepted a truth commission's recommendations to prosecute more than 200 others for crimes committed under the former president's regime.

Jammeh himself remains in exile in Equatorial Guinea, where he fled in early 2017 following his December 2016 electoral loss to President Adama Barrow.

Source: NTV Kenya
 
... Tanzania hii pia kuna kipindi watu walipotea na hapakuwahi kuwa na ufafanuzi wowote wa kueleweka. Bila watendaji waliokabidhiwa dhamana kutambua dhamana hiyo ni kwa ajili ya maslahi ya taifa badala ya watu au viongozi binafsi taifa litaumia sana.
 
Kisa cha Gambia kinanikumbusha kupotea kwa Ben Saanane na kina Azory Gwanda. Baadhi ya Tawala za Afrika ni ngumu sana kusurvive kwa wanaharakati wapingao serikali au wapingao viongozi walioko madarakani. Ni suala la muda haki itapatikana tu, iwe hapa duniani au ahera
 
Ni suala la muda tu,waliohusika na akina Ben Saanane,Azory,Tundu watakuja kulipa bei halisi kwa yale waliyoyafanya
Sawa ila sio kwa maandamano haya ya kwenye keyboards!,put boot on the ground
 
Back
Top Bottom