Search results

  1. TRA Tanzania

    TRA inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024. Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi...
  2. TRA Tanzania

    Stempu za kodi zashuka hadi 30%

    Stempu za Kodi za KIeletroniki (ETS) zashuka bei.
  3. TRA Tanzania

    Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  4. TRA Tanzania

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2023 hadi tarehe 2 Novemba,2023.
  5. TRA Tanzania

    Taarifa kwa umma kuhusu madai ya TRA kupandisha ushuru wa magari toka nje ya nchi

    Kufuatia taarifa iliyoko katika mtandao wa Kijamii ikidai TRA imepandisha ushuru wa magari tunapenda kukanusha na kufafanua kama ifuatavyo; 1. Viwango vya kodi vinapitishwa na bunge na sio TRA. 2.Kodi hukokotolewa kwa kuzingatia thamani ya gari kwenye soko la dunia, gharama ya usafirishaji na...
  6. TRA Tanzania

    Bonanza la michezo kati ya TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo Dar, lafana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Albert Chalamila pamoja na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Bw Alphayo J. Kidata leo 01/07/2023 wameshiriki Bonanza la michezo la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo lengo likiwa kuboresha afya,mahusiano bora na kuhamasisha utoaji wa risiti za EFD
  7. TRA Tanzania

    Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
Back
Top Bottom