TRA Tanzania
Member
- Jul 16, 2022
- 78
- 223
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Albert Chalamila pamoja na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Bw Alphayo J. Kidata leo 01/07/2023 wameshiriki Bonanza la michezo la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo lengo likiwa kuboresha afya,mahusiano bora na kuhamasisha utoaji wa risiti za EFD