Search results

  1. M

    Rais Samia apokea ujumbe kutoka Burundi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 14 Januari, 2022 amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na...
  2. M

    CHADEMA inademka na kila mdundo unaopigwa

    Ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani, ni wazi kuwa panahitaji chama ambacho kitakuwa mbadala wake, chenye nguvu kama au walau kukaribia nguvu chama tawala. Hali inapokuwa kinyume na hapo, ni wazi kwamba itakuwa vigumu sana kukitoa chama tawala madarakani kwa sababu hilo linawakatisha...
  3. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  4. M

    Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  5. M

    Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
  6. M

    Bila furaha hakuna ubunifu wala mafanikio

    Siku moja kundi la watu 50 walikuwa wakihudhuria semina moja. Ghafla mwezeshaji akaacha kufundisha na kutoa zoezi ambalo walitakiwa kulifanya kwenye makundi aliyoyagawa. Baada ya hapo akampa kila mtu puto na kumwambia alipulize lijae hewa na kuliandika jina lake kisha wakayakusanya na kuyaweka...
  7. M

    Orodha ya majina ya vijana 3275 waliopata ajira Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi limetoa majina ya vijana wenye elimu ya shahada, stashahada, astashahada, kidato cha sita na kidato cha nne ambao walifanyiwa usaili na kuchaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania. Majina hayo yanapatikana nafasi za kazi – JESHI LA POLISI TANZANIA
  8. M

    Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  9. M

    Kwa hili, Rais Samia apongezwe

    Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 5.462. Kiwango hicho cha makusanyo ni ukuaji wa asilimia 17.4...
Back
Top Bottom