bunge la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  2. FaizaFoxy

    Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  3. comte

    Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  4. BARD AI

    Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  5. Dam55

    Mtendaji Mkuu wa Total Energy aitwa Bunge la Ulaya kujieleza kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta Tanzania na Uganda

    Mtendaji Mkuu wa TotalEnergies, Patrick Pouyanné, ametakiwa kufika mbele ya Bunge la Ulaya Oktoba 10, 2022 kuwasilisha utetezi kuhusu uhalali wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa...
  6. BARD AI

    Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

    Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mtendaji Mkuu wa Kampuni...
  7. masopakyindi

    Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  8. kavulata

    Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  9. JanguKamaJangu

    Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  10. RWANDES

    Kwanini Bunge la Ulaya halitaki Afrika Mashariki kutekeleza mradi wa mafuta na gesi?

    Tuna mradi mkubwa kutoka Uganda hadi Tanga jambo la kushangaza bunge la Ulaya halitaki kabisa mradi huo utekelezwe kwa minajili ya uharibifu wa mazingira cha kujiuliza yale mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Urusi yenyewe mbona hayakuzuiliwa? Marekani inaongoza kwa kuwa na mabwawa makubwa ya...
  11. Nafaka

    Bunge la Ulaya kupiga Kura kuhusu matumizi ya Bitcoin

    Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine. Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin. Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira. Hii kura...
  12. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  13. Guselya Ngwandu

    Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  14. S

    Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

    Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
Back
Top Bottom