Search results

  1. M

    Kalamu ya Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza

    Kalamu ya Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza NDOA INAHITAJIKA... Inahitajika ndoa ya dharula ILI maisha yarejee katika hali ya kawaida. Maharusi ni Bwana NGUVU na Bi HEKIMA. Kwa nini ndoa? Jibu ni, ili tuweze kujibu maswali mawili: 1. Kwa nini watu waandamane? 2. Kama wakiandamana, kwa nini...
  2. M

    Wakati tunaambiwa: "Chapa kazi, chukua tahadhari" Hali halisi ni hii...

    Mkakati - kama mtu anaweza kuuita hivyo- wa serikali ya awamu ya tano kupambana na COVID-19 kuwaambia watu "waendelee kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari". Binafsi ninachokiona ni kuwa serikali hii imeamua kufuata falsafa ya "do-nothing-and-the-problem-will-go-away". Kwa nini? 1. Naomba mtu...
  3. M

    Maana Halisi ya "Lockdown"...

    Wandugu, kuna misconception miongoni mwa Watanzania wengi niliokutana nao (na michango inayoletwa hapa) kuhusu lockdown (kuzuia watu wao kutoka majumbani kwao kwa kiwango fulani) ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na COVID 19 pandemic. Nchi zote ambazo zimetangaza kuwa hadi sasa zimefanikiwa...
  4. M

    Maoni ya Mhadhiri wa Makerere kuhusu Vipimo vya COVID 19 Kuonyesha Positive Kwenye Samples Zilizochukuliwa Kutoka Kwenye Papai na Mbuzi

    A rebuttal by a Makerere University School of Health Sciences don to H.E. Magufuli's assertion: There are two kinds of laboratory tests for COVID-19: viral tests detect current infection and antibody tests detect past infection. The gold-standard test for SARS-CoV-2, the virus that causes...
  5. M

    Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano @MSalimu Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
  6. M

    Naomba msamaha kwa wale wote niliowafikiria na kuwahukumu vibaya

    Sikua nawaelewa hawa watu kabisa. Inakuwaje mtu atoke Afrika na kukimbilia Ulaya kwenye maisha ya kuishi as if mpo programmed kama robots? (nimeishi kwenye nchi moja Europe kwa miaka mitatu na sikuyapenda hayo maisha hata siku moja) Corona hii imenifanya nijue kuwa wale wote waliokuwa...
  7. M

    Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  8. M

    Coronavirus: World Bank predicts sub-Saharan Africa recession

    Sub-Saharan Africa will this year suffer its first recession for 25 years as a consequence of the coronavirus outbreak, a World Bank report predicts. In a grim assessment, the bank says that the region's economy could shrink by as much as 5.1%. It points to the impact that the virus will have...
  9. M

    Ujumbe kwa wote waliounga mkono juhudi...

    Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda); 1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine? 2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule...
  10. M

    Hivi kufanya uzembe hadi watu wakafa kwa ugonjwa sio sawa na mauaji ya kimbari?

    Hivi kweli kufanya uzembe Tanzania hadi watu wa nchi hii na mataifa jirani wakafa kutokana na sababu ambazo zingeweza kuzuilika si sawa na mauaji kweli? HAKUNA kiongozi hata mmoja dunia hii leo anaepigwa picha "anakula Bata" wakati nchi inakabiliwa na tishio kubwa namna hii. Hivi hakuna namna...
  11. M

    Wako wapi Watanzania waliotibu kiasilia..?

    Mkoani Mara kulikuwa na wataalamu wa asili wa kuunga mifupa, Unyamwezini kwetu kulikuwa na dawa ya kichocho (kichocho kinaitwa "nkazya" na dawa yake ni mizizi ya mti ambao unapatikana Kandi ya mito - ni michungu hiyo, unatafuna mara moja tu na "nkazya" yote Keisha); nasikia uchagani kulikuwa na...
  12. M

    Tanzania inaelekea kuwa failed state?

    Coronavirus imesababisha uchumi wa nchi kadhaa duniani kuyumba. Serikali mbali mbali duniani zinahaha kutafuta njia za ku-mitigate athari za ugonjwa huu (Italia sasa hivi nchi nzima ipo kwenye karantini). Njoo kwetu sasa; nini kinafanyika? Obsession juu ya CHADEMA (wasifanye shughuli zao...
  13. M

    Awamu ya 5 hakuna uzembe kwenye ofisi za umma? Help-Desk ya BRELA ina Ushahidi kamili

    Wandugu; Nipo kwenye mizunguko yangu ya kutafuta shekeli kwenye mji mmoja hapa nchini. Sasa hivi nipo kwenye daladala - wanaita mzunguko hapa - na nimemsikia jamaa mmoja akiongea na mwenzake kwa simu. Kwa kawaida sina mazoea ya kusikiliza mazungumzo ya watu, ila attention yangu kwenye...
  14. M

    Former UN chief Javier Pérez de Cuéllar dies aged 100

    Kwa wale wenye umri (na uelewa) fulani; Karibu Mkuu wa zamani wa UN aliendesha juhudi za kumaliza vita kati ya Iran na Iraq amefariki dunia. Jisomee zaidi. ===== Former UN chief and Peruvian Prime Minister Javier Pérez de Cuéllar has died aged 100. Mr Pérez de Cuéllar's son told local radio...
  15. M

    Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

    Wandugu; kuna inquiry kutoka nje (mimi ni mwanachama kwenye forum fulani inayojihusisha na investments kwenye agribusiness na SMEs). Kuna potential investor ameniuliza maoni yangu - akinukuu alichosema Dangote miaka miwili iliyopita na kuhusu maneno yasemwayo na watawala wetu - kuhusu hali ya...
  16. M

    Hawa ndio Mameneja Wanaotegemewa Kuwezesha Uchumi wa Kati....

    Juzi Jumatano ilinyesha mvua iliyoambatana na upepo mkali sana ulisababisha miti na nguzo za umeme kuanguka katika maeneo kadhaa hapa Arusha. Moja ya maeneo hayo ni estate moja inayomilikiwa na moja ya mashirika ya umma. Jana vijana fulani wakaanza kukata miti (ili kuitoa miti iliyoanguka na...
  17. M

    Uzi wa Wanaoamini kuwa ni Wazalendo wa Kweli wa Tanzania..

    Nimeanzisha uzi nikijua kutakuwa na angalau matukio mawili: 1. Kuhujumiwa na watu fulani (nilishawahi kutumiwa email -kwa bahati mbaya- iliyokuwa inamlenga mtu fulani wakati wa uchaguzi kwa lengo la kumchafua na nilitiwa msukosuko fulani - I was stupid enough to ask the sender some questions...
  18. M

    Kisa cha daktari wa macho Muhimbili

    Kisa cha kufukuzwa kazi mtumishi wa serikali (anaedaiwa kuchana juzuu) kimenikumbusha kisa cha daktari fulani wa macho Muhimbili mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80. Huyo Daktari alipata scholarship kwenda Ujerumani Magharibi (kusomea taaluma ya macho shahada ya kwanza)...
  19. M

    Mnafundisha nini vijana wenu chuoni

    Ni swali nimeulizwa leo na mgeni anaetafuta opportunity ya kufanya social enterprise related activities hapa nchini kwetu. Kwanza haelewi ni kwa nini category ya social enterprise entities haipo nchini, pili hadi leo hajaridhishwa na kiwango cha skills anachokiona kwenye vijana anaotaka...
  20. M

    Doubts raised over Tanzania-Barrick agreement

    A deal signed last year between Canadian mining company Barrick and the Tanzanian government could unravel if its implementation is delayed any further. This was the indicting conclusion in a report by Toronto-based DaMina Advisors, published on January 16. The report noted that the October...
Back
Top Bottom