Mnafundisha nini vijana wenu chuoni

Mnafundisha nini vijana wenu chuoni

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,779
Ni swali nimeulizwa leo na mgeni anaetafuta opportunity ya kufanya social enterprise related activities hapa nchini kwetu.

Kwanza haelewi ni kwa nini category ya social enterprise entities haipo nchini, pili hadi leo hajaridhishwa na kiwango cha skills anachokiona kwenye vijana anaotaka kuwa-recruit at entry point.

Ndipo aliponiuliza; "mnawafundisha nini vijana wenu vyuoni?"
 
Vijana wa sasa watapata shida sana kwenye soko la ajira kwa sababu ya mambo yanayoendea. Naomba nizungumzie baadhi ya mambo yenyewe:

1. Vyuo kuwachukulia wanafunzi kama customers na sio students. Hii ndio failure ya kwanza inayofanya watu wasio na uelewa wa kutosha kuingia mtaan. Mm nakumbuka nikiwa chuo kufeli hata nusu ya darasa ilikua kawaida ila sasa hivi mwalimu afanye hivyo aone. Utaundiwa tume mpaka na Serikali.

2. Irresponsible students. Tuna kizazi cha watu ambao ni irresponsible sijawah ona. Mtu chuoni anapata C tena ya kubebwa anachukulia poa tuu. Hata haoni kama kuna haja ya kustrugle ajue. Anachotaka afaulu aende. Wanafunzi wengi wanajiona wanajua kuliko kujua kwenyewe. Wamekuambusy na mambo ya kipuuzi kuliko mambo ya msingi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ni swali nimeulizwa leo na mgeni anaetafuta opportunity ya kufanya social enterprise related activities hapa nchini kwetu. Kwanza haelewi ni kwa nini category ya social enterprise entities haipo nchini, pili hadi leo hajaridhishwa na kiwango cha skills anachokiona kwenye vijana anaotaka kuwa-recruit at entry point.
Ndipo aliponiuliza; "mnawafundisha nini vijana wenu vyuoni?"
Wanafundishwa ujinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamebadilika sana, zamani unamuajiri mtu ili aje kufanya kazi, saivi vijana wanachotafuta ni kutoka kimaisha. Yeye umuhimu wa kazi haujui anachotamani yeye kufungua kampuni yake na kua na maisha mazuri. Hili ndo linalofanya vijana waonekani wavivu kazini na sio kama hawajui kazi. Mwanafunzi anaetoka chuo anachukua wiki 2 tu kujua kazi zote zinazofanywa pale lakini kiuhalisia anakua haridhiki na anachokipata pale
 
Wanachuo sasa hivi wanasoma kufaulu siyo kupata ujuzi.

Tuna wasomi "wapumbavu" sana ambao wanaandaa mitaala kwa kukaririsha watu mambo mengine hayana msingi wowote.Hawatoi muda mwingi wa kufanya mazoezi ya vitendo,wanaamini katika mitihani kuliko wanavyomwamini Mungu.

Ni bahati mbaya sana kwa sasa,hasa Tanzania yetu.Kuna nchi jirani mtawashangaa sana miaka michache ijayo maana wanawekeza kwa akili sana.Sisi tumebaki na ujinga wa kutukuza vyeti tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ni swali nimeulizwa leo na mgeni anaetafuta opportunity ya kufanya social enterprise related activities hapa nchini kwetu. Kwanza haelewi ni kwa nini category ya social enterprise entities haipo nchini, pili hadi leo hajaridhishwa na kiwango cha skills anachokiona kwenye vijana anaotaka kuwa-recruit at entry point.
Ndipo aliponiuliza; "mnawafundisha nini vijana wenu vyuoni?"
kufikisha course work

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Irresponsible students. Tuna kizazi cha watu ambao ni irresponsible sijawah ona. Mtu chuoni anapata C tena ya kubebwa anachukulia poa tuu. Hata haoni kama kuna haja ya kustrugle ajue. Anachotaka afaulu aende. Wanafunzi wengi wanajiona wanajua kuliko kujua kwenyewe. Wamekuambusy na mambo ya kipuuzi kuliko mambo ya msingi


Sent using Jamii Forums mobile app


Mambo ya kipuuzi ni yepi? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kwelikweli

Wakufunzi/vyuo- wako obsessed Sana na marks/grades, hakuna mbinu mpya za kufanya wanaopata elimu waongeze kitu.

Lecturer anafundisha ki grade-grade Tu nakukamata wanafunzi sio ku transfer knowledge

Ufundishaji haumuandai mwanafunzi aje kua problem solving solver au ajirika

Na ndiyo mana wengi wanatafuta kazi sio kujiajiri, maana kapitapita

Elimu yetu hii bila individual hard work hutoboi, aisee
 
Mitaala ya kufundishia vyuoni iboreshwe...,cyo kulalamikia vijana.
Kijana anatoka mcngi mpaka seko,akifka chuo anatarajia kukutana na vitendo zaidi ila ndo tena anakumbana na moduli za maelezo kibao,kwa nn asichoke!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom