Wako wapi Watanzania waliotibu kiasilia..?

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Mkoani Mara kulikuwa na wataalamu wa asili wa kuunga mifupa, Unyamwezini kwetu kulikuwa na dawa ya kichocho (kichocho kinaitwa "nkazya" na dawa yake ni mizizi ya mti ambao unapatikana Kandi ya mito - ni michungu hiyo, unatafuna mara moja tu na "nkazya" yote Keisha); nasikia uchagani kulikuwa na dawa ya ku-neutralize sumu, etc, etc, etc.

Sasa hakuna mtu mwenye babu yake atuletee dawa ya corona kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom