Search results

  1. opondo

    Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

    Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)... huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
  2. opondo

    Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

    Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha? Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
  3. opondo

    Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  4. opondo

    Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

    Nilifungua channel ya Arise and shine Mwamposa alisema ambao wanatafuta mchumba wasimame walikua wengi sanaa. Nikawa nawaza kwanini sasahivi kundi kubwa la wanaume hawataki kuoa? Na kwanini wanawake wanalalamika hawaolewi na vijana nao wanatafuta mabinti wa kuoa na hawapati? Kuna vitu nimeona...
  5. opondo

    Kwanini serikali inatoa ajira nyingi kwa wahitimu wa dilpoma kuliko degree?

    Nilikua napitia ajira za TAMISEMI za mwaka jana kwanini ajira zinakua na upendeleo sana? Unakuta pdf nzima imejaa wahitimu wa diploma au ni kwamba serikali inakwepa kuajiri wahitimu wenye degree ili kutoa mshahara mdogo? Wanahisi wakichukua wenye degree basi itawatoka pesa nyingi?. Mfano...
  6. opondo

    Ningepata nafasi ya kushauri TAMISEMI

    Nitoe ushauri kwa upande wa ajira hizi za ualimu na wataalamu wa afya Mpaka sasa kada ya ualimu nafasi ni 9800 na waombaji wa hiyo nafasi ni laki moja na elfu kumi na tisa (119000). Roughly ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu 12, pia upande wa afya naona hali sio mbaya saana kama kwenye...
  7. opondo

    Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  8. opondo

    Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro. Nilikua nafikiri niende mbali...
  9. opondo

    Nisaidieni mawazo tafadhali niufate ushauri wa huyu Mchungaji au niuache?

    Habari. JF imekua ni mwalimu wangu tokea nimeanza kuijua, naelewa humu ndani kuna watu wamepitia mengi sana watanipa ushauri ambao utanijenga Mimi kijana wao. Imepita mwaka sasa tokea ili swala limetokea nilipokua chuo naombeni ushauri wenu kutokana na experience yenu ambayo mmeshapitia...
  10. opondo

    Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
Back
Top Bottom