waliofanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Waliofanikiwa katika dunia hii ni wachache sana, wengi bado wanahangaika

    Maana yangu katika kufanikiwa: Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira. Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
  2. Nyafwili

    Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: • Nilianza kuuza karanga za kupima. • Nilianza kushona viatu...
  3. aka2030

    Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  4. sky soldier

    Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  5. R

    Waliofanikiwa kukwepa ufisadi wanaishi miaka mingi sana; angalia mifano ya akina Sarakakikya

    Wazee wengi waadilifu wana afya njema hata baada ya kustaafu; mfano wao 1. Mzee Mwinyi akujilimbikizia mali, nchi iliibiwa just kwasababu hakutaka kuchukua hatua kwa wezi 2. Mzee Warioba 3. Mzee Butiku 4. Mzee Mwandosya 5. General Sarakikya 6. Obama- anaishi maisha yakumpendeza hata asiyewahi...
  6. opondo

    Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

    Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha? Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
  7. Mpasuaji wa Manesi

    Deranged woman, is a no go zone

    Wanaume, Sikilizeni alichozungumza. Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani. Be a Man, respect yourself.
  8. ladyfurahia

    Jifunze kwa wengine waliofanikiwa nawe utatoboa kimaisha

    Habarini wadau wangu, Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku. Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
  9. plan z

    Watu waliofanikiwa ni wale ambao walienda extra step

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  10. co fm

    Vijana waliofanikiwa maisha

    Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;- 1. Anakaa sinza 2. Anamiliki crown au Mark x 3. Anafanya kazi posta na hii sio lazima sana anafanya kazi bank. vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
  11. Bunchari

    Vijana waliofanikiwa vs vijana ambao hawajafanikikiwa

    Habari wakuu, nyie jamaa mnaosukuma subaru dzr, bmw dys na toyota dzk mnawazungumziaje wanenu apeche alolo mlo soma wote sec & primary school? Iko hivi nimepita mahali dada anazungumza na simu network inazingua anajitambulisha kwa mtu wa pili anaezungumza nae yeye ni mke wa 'ngumi jiwe'...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Wizara ya Ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao

    Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti. Wanakosa ubunifu kwasababu wanakua hawana uzoefu wala ujuzi unaoweza kusaidia kuwapa uelekeo watanzania...
  13. sinza pazuri

    Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  14. Makirita Amani

    Uchambuzi wa kitabu: The Third Door (Jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio)

    Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan. Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
  15. mtoto mdogo sana

    Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

    Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona. Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
  16. C

    Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye UCL

    Je wajua? Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti Didier Drogba Samuel Etoo Mohamed Salah The Blues updates🔵
  17. chizcom

    Waliofanikiwa kwa njia wanazozijua wao wanajiona motivational sana!

    Hili swala ni zuri sana, Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio. Mfano wa watu hawa: Forex scammer makahaba ya grade za juu watoto wa wakubwa na matajiri waliopata pesa kwa njia za madawa ya kulevya na biashara za ajabu ushirikina shoo off za...
Back
Top Bottom