Search results

  1. Jerry santonga

    Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  2. Jerry santonga

    Hajui baba wa mtoto ni nani! Je, ni kweli?

    Habari za muda huu wajumbe? Je ni kweli mwanamke anashindwa kujua baba wa mtoto? Ashtukie mimba ina miezi mitano?? Kweli au kuna upigaji wa wazi wazi... Je inawezekana kabisa usimjue baba wa mtoto kati ya mtu mbili ulizotembea nazo? Wa kwanza kakataa wa pili hana taarifa. Hawa watoto wetu wa...
  3. Jerry santonga

    Naomba kujuzwa gharama za CPA kwa aliyemaliza degree

    Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/= Naomba wajuzi mnisaidie
  4. Jerry santonga

    INAUZWA Friji ya hisense litre 164 inauzwa 520,000/=

    Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0712046405 lipo Dar es salaam kigamboni pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZI.
  5. Jerry santonga

    Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

    Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate. Nikavutiwa na confidence yao...
  6. Jerry santonga

    Wezi wa kuchana/pekenyua madirisha bado wapo

    Habari za muda wakuu? Baada ya mihangaiko narudi mishale ya saa nne usiku, ninapopumzisha mwili wangu sehemu moja inaitwa Kimanga ya Tabata. Kumbe bado wapo na shughuli zinaendelea bwana. Wajomba hawa wamekuja ndio naanza kuupata usingizi, lahauuula nasikia dirishani wanakata wavu kwa madaha...
  7. Jerry santonga

    NJIA MOJA YA MAFANIKIO HAPA ULIMWENGUNI UKIWEZA HII WALLAH UNATOBOA

    Habari wazee wa kazi kwema kabisa?.Leo ningependa kuwashirikisha suala moja kwangu nimeona ni njia ya mafanikio kwa yeyote yule ambaye ataiweza ataiishi. Njia yenyewe ni Kuushinda mwili,mwili ndio kikwazo kwa wengi wetu yaani unashindwa kutunza fedha kisa mwili kuulisha mapochopocho,huenda hayo...
  8. Jerry santonga

    Nahitaji kreti zenye chupa kampuni ya TBL chupa kubwa kama unazo hata 30 njoo tufanye biashara

    Nahitaji creti za bia chupa kubwa kampuni ya TBL creti 50 kama unazo piga namba 0692 950167 uniuzie kama bei yako itakuwa ndani ya uwezo wangu au makubaliano
  9. Jerry santonga

    Nahitaji 50 creti na chupa kubwa zake kampuni TBL

    Nahitaji kreti za TBL 50 zikiwa na chupa zake fasta leo hiii njoo tuongee biashara 0713 267828 saa tano saa 6 mchana wa leo njoooo tufanye biashara
  10. Jerry santonga

    KaribuAutoservices kwa ajili ya services zaGari yako

    KaribuAutoservices located at Mwananyamala Ni garage inayojishughulisha na 1.Car body works mfano.kunyoosha na kupiga rangi sehemu iliyopata hitilafu ama gari nzima.. 2.Mechanical work...matatizo yote ya Engine hapa ni suluhisho kwake 3.Tunashona seat covers 4.ushauri wa kitaalam wa gari yako...
  11. Jerry santonga

    Nahitaji laini ya mpesa bajeti yangu 120k

    Rejea kichwa cha habari hapo juuu nahitaji laini ya uwakala wa mpesa iliyofit kalikiti kwenye matumizi nipo Dar ubungo plz fanya fasta fasta tupige buzness 0712046405
  12. Jerry santonga

    Familia yetu

    Habari wakuu...heading ya kukuvuta tu haihusiki ila sijui hiki mtakiitaje kipaji au ni nin maana Wakati mwingine huwa najishangaa haswa pale napokamata kalamu na daftari langu flani hivi utakuta naandika heading tu yoyote then napanga matukio ya kustaajabisha wa karibu yangu Kibaya zaidi ni...
  13. Jerry santonga

    Dharau kama hizi sio nzuri kabisa

    Habari za muda huu makamanda, Ni matumaini yangu mpo vyema kama kuna mgonjwa basi Mungu amponye Haya twende na hii Leo mida ya saa tatu tatu hivi baada ya kumaliza kucheki game la watani wa jadi simba yanga nkarudi na furaha ya arsenal wangu. Sasa baada ya kucheck game nikawa na wana...
  14. Jerry santonga

    Sala:Mikopo batch 2

    Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu Kwa sababu fedha na mali ni mali yake... Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate...
  15. Jerry santonga

    Shule ya sekondari St. Anthony bado wana nafasi kwa kidato cha kwanza?

    Kwa anaefahamu hyo shule anijuze Kama bado wanatoa nafasi za kujiunga kwa kidato cha kwanza Je gharama ya form ni kiasi gani?
  16. Jerry santonga

    MWANASANYANSI WA KIMATAIFA KUTOKA TANZANIA

    Habari za muda huu wakuu Muda huu nikiwa nasikiliza redio one wakijadili mambo ya maabara katika shule za Tanzania Mmoja wa wachangiaji amesema kuna wanasayansi maarufu duniani wanatokea Tanzania akamtaja mmoja kwa jina la Erasto mpemba Ugunduzi wake;barafu haiyeyuki ikiwekwa kwenye maji ya...
  17. Jerry santonga

    Kumbukumbu: Restituta Bukori

    Habari ndugu zangu.. Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one. Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia Nilidhani aliacha hii tasnia
  18. Jerry santonga

    Hivi ni KANDAMBILI AU KANAMBILI

    Habari wakuu Leo nilitembelea kwa mjomba wangu Aisee sasa nilimsubiri kwa kitambo kweli akawa amerudi akamtuma mwanae mkubwa tu wakati anavua viatu na kumwambia ''niletee kandambili zangu" mwanae akamjibu ''kanambili zako amevaa mama ameenda dukani'' sasa nikamuliza mjomba Hivi ni kanambili au...
  19. Jerry santonga

    Aiseee nimemshusha heshima yaani dah

    Habari wakuu Ni matumaini yangu mu wazima kwenye hili jukwaa Nimemshusha heshima kama vyeo vyangu nimeondoka navyo,hapa nipo zangu huku ndani ndani kinondoni mkwajuni kuna jirani yangu mmoja mdada mbichi tu kama sio 26,27umri wake hapo hawezi kuzidi. Katika soga za hapa na pale huku tukiwa...
  20. Jerry santonga

    Mjue L.O.G.I.C a.k.a mantiki wa uhakika

    Zamani kidogo kipaji cha kurap ulikuwa ni uhuni ila kadri muda unavyoenda dhana hii inatokomea, Vijana wanafanya mambo mazito na vipaji vyao ogopa mtu wa elimu yake sisemi wasio na elimu wanafanya vibaya la hasha ila ni hivi LOGIC ni msanii ambaye kesho yake inaonekana sio tu kwa style...
Back
Top Bottom