Sala:Mikopo batch 2

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
642
549
Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe
Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja
Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate mikopo kama mapenzi yake Muumba...
Kijana wangu ananitia simanzi kwa kweli nipeni pole
 
  • Thanks
Reactions: m2u
daah sio poa asee only God can help with this may Gold put his hands on this
 
Kwan hiyo mikopo inatolewa kwa miujiza au bahati nasibu?
Vigezo vya kutoa mkopo vipo waz
 
kwani hiyo batch 2 ya mkopo unatolewa lini? kama katika wanafunzi 32000 baada ya uchambuzi walitoka 10996. je hao waliobaki watatoka wangapi? kiujumla bodi ya mikopo imeshindwa jukumu lake mapema...
 
Kwan hiyo mikopo inatolewa kwa miujiza au bahati nasibu?
Vigezo vya kutoa mkopo vipo waz
Unaweza kuwa na z vigezo bado ukakosa...heslb na wao binadamu wanajisahau...ndo mana tunaomb mungu atuepushe na hilo baraaa...hiyo gundu isitukute
 
Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe
Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja
Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate mikopo kama mapenzi yake Muumba...
Kijana wangu ananitia simanzi kwa kweli nipeni pole
Kama ndivyo kwann usimwombe mungu akupe mkopo
 
Poleni sana....

Hapa ndipo ninapoonaga mazuri ya KIKWETE japo nae alikuwa na mapungufu yake bt he was human..

Mimi nilikula 100%..hakika niliinjoy sana..niltamani chuo kisiishe.
JK alituacha tunakatwa 8%.... Baba J katuua..tunakatwa 15%..

Najuta ..natamani hata ningekosa mkopo.. Deni ni kubwa mnoo wala hata sijui kama linaisha lini.

Ushauri.. Vijana kama unaweza ukajibangaiza ukajilipia komaa tu. Makato yanaumiza sana.

Na huyu mtu tuliyenae hakika anaweza akawakokota watoto hata wasio na ajira jela kwa kutorejesha mikopo au akadaka ardhi mlizodhaminisha.

Yote kwa Yote Mungu awasaidiee.
 
Back
Top Bottom