MWANASANYANSI WA KIMATAIFA KUTOKA TANZANIA

MWANASANYANSI WA KIMATAIFA KUTOKA TANZANIA

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
647
Reaction score
566
Habari za muda huu wakuu

Muda huu nikiwa nasikiliza redio one wakijadili mambo ya maabara katika shule za Tanzania
Mmoja wa wachangiaji amesema kuna wanasayansi maarufu duniani wanatokea Tanzania akamtaja mmoja kwa jina la Erasto mpemba

Ugunduzi wake;barafu haiyeyuki ikiwekwa kwenye maji ya moto
(Bado sijampata hapa)
akaenda mbali zaidi akasema ugunduzi huo jamaa akaupa jina wa ''mpemba effect''
kwa kutuhakikisha akasema tugoogle sasa
Hapa sipo vyema wakuu naomba mfuatilie huyu mpemba na mpemba effect yake ni ipo na huo ugunduzi wake wa mnamo miaka ya 1960

maarufu sana huyu mtu hahaha dah mpemba effect....

Karibuni
 
Nilishawahi kumsikia hata mimi mkuu hii si mara ya kwanza
 
Habari ya Mpemba effect ilishagunduliwa zamani sana na Aristotle alishaiandika.

Ila ilikuja kusahauliwa na sayansi ya sasa mpaka Mpemba alipoigungua tena.
 
Habari ya Mpemba effect ilishagunduliwa zamani sana na Aristotle alishaiandika.

Ila ilikuja kusahauliwa na sayansi ya sasa mpaka Mpemba alipoigungua tena.
Mbona anaheshimika huko kwa wazungu jamaa amemsifia kweli kweli bw.mpemba na effect zake
 
Mbona anaheshimika huko kwa wazungu jamaa amemsifia kweli kweli bw.mpemba na effect zake
Hakuna chochote nilichoandika ambacho kinazuia kuheshimika, hata wewe ukiandika kitu kilichosahauliwa kwa maelfu ya miaka utaheshimika.

Ila, kama kilishaandikwa maelfu ya miaka huko nyuma, watu watasema kwamba wewe umewakumbusha, lakini si wa kwanza kukisema, kwa sababu kilishaandikwa huko nyuma.

Mpemba Effect inajulikana kama ilikuwa rediscovered na kuwekwa kwenye modern science na Erasto Mpemba.

Lakini ilishaandikwa hata enzi za Aristotle. Aristotle aliishi miaka kati ya 384- 322 kabla ya enzi ya sasa ya kuzaliwa Yesu, hiyo ni takriban miaka 3200 iliyopita, watu walikuwa washaandika habari hii.

Soma zaidi

Mpemba effect - Wikipedia

Historical context[edit]
Various effects of heat on the freezing of water were described by ancient scientists such as Aristotle: "The fact that the water has previously been warmed contributes to its freezing quickly: for so it cools sooner. Hence many people, when they want to cool water quickly, begin by putting it in the sun. So the inhabitants of Pontus when they encamp on the ice to fish (they cut a hole in the ice and then fish) pour warm water round their reeds that it may freeze the quicker, for they use the ice like lead to fix the reeds."[5] Aristotle's explanation involved antiperistasis, "the supposed increase in the intensity of a quality as a result of being surrounded by its contrary quality."
 
Nilishawahi msikia ndio mgunduzi kua barafu inayeyuka haraka zaidi kwenye maji baridi kuliko maji ya moto . Nilisikia ilikua ujerumani alivyorudi bongo alipewa kazi vijijini huko jamaa wakawa wanamuulizia lakini hawakumpata japo kuna mtalii alikuja bongo akamuona na kumtambua. Inaelekea jamaa alikua na kipaji kikubwa sana kaishia tu japo kua uvumbuzi wake ulikuja thibitishwa kuwa sahihi.

Hongera zake maana nasikia huyo mtalii alimrudishia connection ya kwenda huko ujerumani na alipata kitu kidogo.

Huwa unapowaona wake matanzania one wengine lecturer wengine wanapenda minara ya simu hapo ndipo matatizo yalipo wangekua wanafanya tafiti kwenye maabara ingekua faida sana kwa taifa kuwa Tanzania one maana yake IQ yake imechangamka na anagifikikia vizuri tuwape nafasi watafanya mambo makubwa Dalton aliandika theory kuhusu atom japo kua alikosea lakini ndio ulikua mwanga wa watu kujifunza zaidi juu atomic structure
 
Hakuna chochote nilichoandika ambacho kinazuia kuheshimika, hata wewe ukiandikakitu kilichosahauliwakwa maelfu ya miakautaheshimika.

Ila, kama kilishaandikwa maelfu ya miaka huko nyuma, watu watasemakwamba wewe umewakumbusha, lakini si wa kwanza kukisema, kwa sababu kilishaandikwa huko nyuma.

Mpemba Effect inajulikana kamailikuwa rediscovered na kuwekwa kwenye modern science na Erasto Mpemba.

Lakini ilishaanikwa hata enzi za Aristotle. Aristotle aliishimiaka kati ya 384- 322 kabla ya enzi ya sasa ya kuzaliwa Yesu, hiyoni takriban miaka 3200iliyopita, watu walikuwa washaandika habari hii.

Soma zaidi

Mpemba effect - Wikipedia

Historical context[edit]
Various effects of heat on the freezing of water were described by ancient scientists such as Aristotle: "The fact that the water has previously been warmed contributes to its freezing quickly: for so it cools sooner. Hence many people, when they want to cool water quickly, begin by putting it in the sun. So the inhabitants of Pontus when they encamp on the ice to fish (they cut a hole in the ice and then fish) pour warm water round their reeds that it may freeze the quicker, for they use the ice like lead to fix the reeds."[5] Aristotle's explanation involved antiperistasis, "the supposed increase in the intensity of a quality as a result of being surrounded by its contrary quality."

OKAY mkuuu nimeelewa ngoja nimsome huyu ndugu yetu aliyekumbushia
 
Back
Top Bottom