Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 566
Habari wakuu...heading ya kukuvuta tu haihusiki ila
sijui hiki mtakiitaje kipaji au ni nin maana
Wakati mwingine huwa najishangaa haswa pale napokamata kalamu na daftari langu flani hivi utakuta naandika heading tu yoyote then napanga matukio ya kustaajabisha wa karibu yangu
Kibaya zaidi ni leo nilipoandika heading ya MCHIMBA MAKABURI
ALIANZA HIVYI
Ni usiku wa manane pakiwa ni patulivu sana kiasi cha hata unyoya ungedondoka basi yoyote aliyepo kwenye eneo hilo angesikia sauti ya kudondoka kwa unyoya huo...ni majira ya saa nane na dakika hamsini na mbili Mirafa anaamshwa na kelele za watu wakiwa wanagonga mlango wake walianza taratibu kana kwamba hawataki mtu awaye yoyote wawasikie ila muda huu walikuwa wanagonga kwa nguvu
Walifupisha RAFA,wakimaanisha Mirafa walimuita kwa nguvu sauti iliashiria kukerwa kwa kitendo cha Mirafa kutokuamka kwa wakati
Sasa wakuu najikuta naandika mistoooori mingi isiyo na idadi
Nilishawahi kwenda Timamu company ila walinitaka nitoe fedha kiasi kinene mno sasa nikashindwa yan
Ni addict sana sometime sipendi kuona kalamu na karatasi yan hata ukinipa heading mkuu mtiririko ntakupa hata ukitaka usiishe milele kama isidingo
OMBI...
Naomba connection.hata kujitolea
NB.still natafuta chance japo tasnia imelala nchini
Nawasilisha