Mjue L.O.G.I.C a.k.a mantiki wa uhakika

Mjue L.O.G.I.C a.k.a mantiki wa uhakika

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
647
Reaction score
566
Zamani kidogo kipaji cha kurap ulikuwa ni uhuni ila kadri muda unavyoenda dhana hii inatokomea,
Vijana wanafanya mambo mazito na vipaji vyao ogopa mtu wa elimu yake sisemi wasio na elimu wanafanya vibaya la hasha ila ni hivi LOGIC ni msanii ambaye kesho yake inaonekana sio tu kwa style anayofanya bali uhakika wa anachofanya hebu ingia instagram fuata link usikilize wimbo wake unaitwa ''mchumba'' hapo utaelewa nasema nini kuhusu uwezo wa huyu mwanahiphop
Mcheku hapo @mantiki_wa_uhakika
Pia utaelewa zaidi ukisikiliza wimbo wake aliouachia hivi karibuni ukiwa na maudhui lukuki unaoitwa ''sisi kwa sisi'' aliomshirikisha Com
Mpiga guitar maarufu Engineer wa umeme kaa chonjo kabisa waelewa wanaelewa mcheki @mantiki_wa_uhakika instagram uje na mrejesho sijasema umfollow...
Barzshop
 
Logic ni msanii maarufu wa Hip Hop kutoka Marekani.

Huyo unayemsema wa Bongo?

Mbona mnatuchanganya?
 
Logic ni msanii maarufu wa Hip Hop kutoka Marekani.

Huyo unayemsema wa Bongo?

Mbona mnatuchanganya?
L.O.G.I.C
a.k.a Mantiki wa uhakika
Mkuu
Kuna wakina Manfred bongo anaimba dancehall pia yupo Man F.R.E.D huyu anagonga michano
Las vegas nevadaa
 
L.O.G.I.C
a.k.a Mantiki wa uhakika
Mkuu
Kuna wakina Manfred bongo anaimba dancehall pia yupo Man F.R.E.D huyu anagonga michano
Las vegas nevadaa
Hao wabongo wanaotumia majina ambayo tayari yashatumiwa na watu mimi naona watafuta kiki tu.

Mimi ukiniambia "Mjue Logic, mwana Hip Hop" najua unaniambia kuhusu Logic wa Marekani. Ambaye kwa kuchana namkubali.

Ukiniambia Bongo kuna mwana Hip Hop anaitwa Logic naona anaiga tu.

Logic huyu hapa

Logic (musician) - Wikipedia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom