Naomba kujuzwa gharama za CPA kwa aliyemaliza degree

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
642
550
Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/=

Naomba wajuzi mnisaidie

IMG-20210715-WA0008.jpg
 
Kwa budget hii maana yake mitihani yote atafanya na kufaulu kwa wakati mmoja?

Ingia mtandaoni kwenye website yao NBAA wameeleza vizuri, utaelewa. Hiyo hela haitoki kwa pamoja.
 
Mtoto muhuni sana kashaweka masomo yote budget ya tuition alafu kaweka exemption fees 240,000 mpuuzi sana .Alitakiwa ayatoe masomo ambayo atapata exemption katika budget ya tuition center.na hiyo registration 365,000 kakupiga hapo kaongeza kama laki 6 hivi. Na hapo kuna masomo hatoenda tuition center mana kwa hapo alivyoandika inaonekana alisoma degree ya uhasibu. Kila la khery ila kama unajiweza ni rahisi kwako mana hulipi hela yote kwa wakati mmoja .utalipia masomo anayofanya tu mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom