Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii nchi ina vituko sana, kinacho itwa vita dhidi ya Ufisadi ni hadaaa kubwa sana, Raisi mwenyewe anajua fika kilicho nyuma ya Pazia. Kuna mtu wangu mmoja hivi ambaye ni Dereva wa mmoja wa Mabosi...
18 Reactions
62 Replies
6K Views
Nangoja Upigaji wa Report ya Mwakani nione Raisi ataongea nini wakati anakabidhiwa report make walio husika na Ufisadi mwaka huu kawasamehe mara baada ya kuombwa na Wakina Kikwetwe, Tulia akson na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtakumbuka report ya CAG mwaka huu, ilitolewa wakati wa mfungo na Mama alikasirka sana akawatukana mafisadi Stupidy, hio ndio adhabu kubwa kabisa alio wapatia walio piga pesa za wajinga wa nchu...
0 Reactions
4 Replies
563 Views
Niliwahi Post humu kwamba kuna kitengo ndani ya CCM sio kitengo rasimi ila kipo na kina dili na kuombea viongozi misamaha. Ni kitengo cha zamani sana sema kilipotea enzi za Magufuri na kwa sasa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Report ya CAG mwaka jana, Rais Samia aliwasemehe wale wote walio tajwa kwenye report na hawakutakiwa kurudisha hata 10 walizo piga. Leo hii anakuja na swagwa za kulalamika? Ili kuwachota akili...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia...
2 Reactions
9 Replies
824 Views
Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50%...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe...
9 Reactions
146 Replies
9K Views
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine Zitto Kabwe amesema wao...
13 Reactions
94 Replies
6K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Chalamila katika kujibu maneno ya wadau yanayopinga kitendo cha viongozi wengi kumtaja Rais kwenye kila jambo, hata kwenye mambo ambayo hahusiki nayo, ameeleza...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Sheria hii inaweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye ujenzi wa stendi ya Kimataifa iliyopo kata ya Mfumuni...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naona baadhi ya watu wanashangilia kama jambo jema na kubwa sana kwamba kuna kijana wa miaka 44 kutoka chama cha upinzani huko Senegal anakaribia kutwaa madaraka ya Urais baada ya kupigiwa kura...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Ni muhimu vijana wafundishwe kuheshimu Mamlaka zilizopo Vijana tuheshimu Serikali za Vijiji. Tuheshimu Mamlaka za kata . Tuheshimu viongozi wa Wilaya. Tuheshimu Mamlaka za Mikoa. Tuheshimu...
1 Reactions
52 Replies
2K Views
Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia...
23 Reactions
43 Replies
5K Views
Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili. Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom