Kamati ya CCM ya Kuombea Viongozi misamaha yalemewa na Orodha ya waomba huduma

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,705
6,503
Niliwahi Post humu kwamba kuna kitengo ndani ya CCM sio kitengo rasimi ila kipo na kina dili na kuombea viongozi misamaha.

Ni kitengo cha zamani sana sema kilipotea enzi za Magufuri na kwa sasa kimeibuka upya na nguvu mpya sana.

Kitengo kina wazeee wastafu wa CCM ambao wako karibu mno na Raisi Samia kwa sasa na Mama anawasikiliza sana.

Kitengo kina watu kama Yusufu Makamba huyu ni kama Mwenyekiti kwa sasa,Mizengo Kayanza Pinda,Kikwete,john Malecehela,Raisi mstafu Mwinyi na pia yumo Philip Mangura.Pia yumo Spika wa Bunge wa sasa.

Kuna mtu wangu wa karibu anaye fany kazi kwa mmoja wa hao wastafu hapo juu amenitonya leo kwamba Mheshimiwa ana orodha kubwa sana ya Viongozi wanao fika kuomba waombewe misamaha kwa Mama.

Kuna Wakurugenzi wa Hamashauri mbaliambali hawa ni wengi sana,wapo walio tumbuliwa hawa wanaenda kuombewa misamaha ili warudishwe Kazini na pia wapo ambao wamehamishiwa vitengo vingine sasa huko hakuna Mpunga wanaenda kuomba msamaha na baadae warudishwe maeneo yenye Mpunga.

Hata mwenezi wa sasa wa Chama chetu ni zao la hawa Wazeee na pia Sabaya ameisha omba Booking ya kuonana nao ili aombewe msamhaha kwa Mama.

Idadi ya Wakurugenzi wa Halimashauri ni kubwa sana na hawa si kwamba wametumbuliwa hapana ila wamefanya madudu huko na wana fununu za kupigwa chini.

Kuna ambao wakisha sikia fununu ya kutumbuliwa basi huwahi kwa wazee kuweka mambo sawa.

Walio tajwa kwenye report ya CAG walisha ombewa msamaha wote na hakuna tena kujadiliwa Bungeni.
 
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh.Cornel Magembe, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo, kuchunguza fedha zilizotolewa na Halmashauri ya Mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Zahara michuzi kwenda nchini China, kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha Halmashauri ya Mji wa Geita.

#ITV
 
ataombewa msamaha hakuna kitu hapo
 
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh.Cornel Magembe, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo, kuchunguza fedha zilizotolewa na Halmashauri ya Mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Zahara michuzi kwenda nchini China, kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha Halmashauri ya Mji wa Geita.

#ITV
Duh
 
Huyu ni mteule hilo nalo tutaliangalia
 
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh.Cornel Magembe, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo, kuchunguza fedha zilizotolewa na Halmashauri ya Mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Zahara michuzi kwenda nchini China, kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha Halmashauri ya Mji wa Geita.

#ITV
Baba yake anacheza viunga vya Ikulu
 
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh.Cornel Magembe, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo, kuchunguza fedha zilizotolewa na Halmashauri ya Mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Zahara michuzi kwenda nchini China, kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha Halmashauri ya Mji wa Geita.

#ITV
Ni mambo ya kijinga sn, mpaka leo DED hajui namna ya kuendesha halmashauri?
 
H

Uyo binti wa mwandishi mkongwe ISSA Michuzi hivi watamweza kweli??...... hahahaha.
 
Kitengo Cha Kuombea Watu Msamaha Kwa Mama
CCM Na Kinyaa Chake, Oops Baadaye Sasa Tutajua
 
Back
Top Bottom