Nangojea report ya Mwakani ya CAG nishuhudie unafiki wa kutisha wa Watawala

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,503
Mtakumbuka report ya CAG mwaka huu, ilitolewa wakati wa mfungo na Mama alikasirka sana akawatukana mafisadi Stupidy, hio ndio adhabu kubwa kabisa alio wapatia walio piga pesa za wajinga wa nchu hii.

Firkira unapiga Billion 30 au 100 then unatukanwa stupidy na ndio inakuwa imetoka hivyo.

Baada ya ile tusi tukajua sasa watu watapelekewa moto wa kufa mtu, kumbe hadaa tupu, haeaka haraka ile kamati ya kuombea watu misamaha kwa Mama ikaanza kazi ta juwasafisha walio tajwa kwenye report. Mbaya zaidi hata Spika ni mmoja ya watu wanao tumiwa kuombea mafisadi misamaha.

Sasa na ngoja kwa hamu sana report ya Mwakani ili nione Mama ataongea nini tena, kwa sababu wale alio waita Stupidy alisha wasamehe wote na wanaendelea na kazi zao kama kawaida. Sasa sijajua mwakani atawaita tena stupidy au itakuwaje na usishangae wale wale ndio wakatokea tena kwenye report.

Report ya mwakani ni kipimo cha juu kabisa cha unafiki wa hawa CCM.
 
REPORT YA CAG ni kitabu cha hadithi haina MADHARA YOYOTE kwa TAIFA watu WANAPIGA PESA HAKUNA HATUA TANZANIA UKIWA MTUMISHI WA UMMA NA UKASHINDWA KUIBA ENEO LAKO LA KAZI HATA UKOO WAKO UTAKUSHANGAA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mtakumbuka report ya CAG mwaka huu, ilitolewa wakati wa mfungo na Mama alikasirka sana akawatukana mafisadi Stupidy, hio ndio adhabu kubwa kabisa alio wapatia walio piga pesa za wajinga wa nchu hii.

Firkira unapiga Billion 30 au 100 then unatukanwa stupidy na ndio inakuwa imetoka hivyo.

Baada ya ile tusi tukajua sasa watu watapelekewa moto wa kufa mtu, kumbe hadaa tupu, haeaka haraka ile kamati ya kuombea watu misamaha kwa Mama ikaanza kazi ta juwasafisha walio tajwa kwenye report. Mbaya zaidi hata Spika ni mmoja ya watu wanao tumiwa kuombea mafisadi misamaha.

Sasa na ngoja kwa hamu sana report ya Mwakani ili nione Mama ataongea nini tena, kwa sababu wale alio waita Stupidy alisha wasamehe wote na wanaendelea na kazi zao kama kawaida. Sasa sijajua mwakani atawaita tena stupidy au itakuwaje na usishangae wale wale ndio wakatokea tena kwenye report.

Report ya mwakani ni kipimo cha juu kabisa cha unafiki wa hawa CCM.
Utakuwa haupo!
 
Back
Top Bottom