Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda...
Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa
Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa...
Mwendokasi sasa hivi inaendeshwa kwa hasara tena hasara kubwa, yamkini hata vipuri au mafuta yanatikana na mkono wa serikali.
Zipo sababu lukuki kwa nini shirika kama Udart kuendeshwa kwa hasara...
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, tarehe 25 Machi, 2024.
Akihutubia Taifa Kwa hotuba ya funga mwaka 2023, Rais Samia alisema mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wa matokeo na hakika matokeo yameanza kuonekana.
Mwaka huu 2024/2025 unaenda kuwa mwaka wa Uzinduzi...
Habari wana JF.
Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana.
Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo...
Huyu Mwamba "JPM!"
John Pombe Magufuli ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi...
Chama cha ACT Wazalendo kinaitaka mamlaka ya uteuzi kumwajibisha waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kwa kauli ya kuweka marufuku kwa mashabiki wa timu pinzani zinazotoka nje...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa...
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa...
SEPTEMBA 2, 2012, polisi waliua kikatili mwandishi wa habari wa kituo cha Channel TEN, Daudi Mwangosi, katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa. Alikufa mbele ya Kamanda wa Polisi mkoani humo...
Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa!
Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na...
Ndugu zangu ilikuwa mnamo mwaka 1958, ndipo Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere alipotoa wosia mzito juu ya rasilimali za nchi.
Tutumie nukuu hii pale tunapotaka kuchukua uamuzi unaohusiana na...
Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika
Zaidi soma hapa
--
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama...
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...
Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa...
Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mapambano yamewezesha mh Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal
Mnyika anasema November 2023 alikuwa Nchini Senegal kama sehemu ya Ujumbe kutaka...
Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda...
Mimi ni Freelance believer na ninasema wazi kwamba Upinzani ukijipanga vizuri.mkapanga hoja zenu vizuri.
Mkaondoa "Ubinafsi" wenu!
Mkaacha dharau baina ya chama kimoja dhidi ya kingine. Mkajitoa...
Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site!
Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.