Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema...
4 Reactions
136 Replies
10K Views
Habari Tanzania! Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kiukweli wananchi...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World. Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa...
28 Reactions
152 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, ameagiza kufuatiliwa kwa marejesho ya mikopo ya Halmashauri inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku ripoti zikionesha tangu mikopo...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kutambua kazi kubwa na nzito inayofanywa na Rais Samia, Uchapa kazi wake wake,uzalendo wake,ukarimu na uungwana wake, unyenyekevu na kujitoa kwake kulibeba Taifa letu...
4 Reactions
63 Replies
3K Views
Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Mstahiki Meya dhamana uliyopewa kuiongoza manispaa ya Tabora usiigeuze fimbo ya kuwachapia wakazi wako. Mkazi mtu mzima alikuuliza swali kuhusu wale mnaowaajiri kwa kujuana na kuwapa kazi...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni kutokana wengi wanafungua viwanda kusupport nchi yao, lakini wanasiasa kutokana na maslahi yao, wanaingiza bidhaa nchini bila kodi na bidhaa hiyo hiyo inayozalishwa nchini inakuwa na kodi...
2 Reactions
3 Replies
585 Views
Ndugu zangu mimi nimekaa Leo najitafakari. Nimetafakari sana mpaka kichwa kikataka kupasuka. Nilikua najiuliza maswali shirika letu la mafuta (TANOIL) limepataje hasara. Mbona wengine wana...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na...
3 Reactions
6 Replies
733 Views
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja, Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini. Kwasasa Tanzania...
22 Reactions
194 Replies
17K Views
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO. Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera) Kituo kitakachofuata ni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56. Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
2 Reactions
11 Replies
797 Views
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja. Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki...
12 Reactions
69 Replies
5K Views
Back
Top Bottom