Chalamila: Hatuwezi kumtaja Mbowe kwa Maendeleo, tutamtaja Rais

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Chalamila katika kujibu maneno ya wadau yanayopinga kitendo cha viongozi wengi kumtaja Rais kwenye kila jambo, hata kwenye mambo ambayo hahusiki nayo, ameeleza kwamba wao wanamtaja Rais kwa vile ameleta maendeleo, Hawawezi kumtaja Mbowe.

Kwa mawazo ya Chalamila anaamini wanaochalenji kumtajataja Rais kwenye mambo hata ya hovyo ni Chadema, kumbe hajui tu, Watanzania wote wanapinga jambo hilo. Hivi inawezekanaje mtu anusurike kuliwa na Mamba huko Kilosa halafu aseme anamshukuru Rais badala ya kushukuru Mungu aliyemnusuru?

Screenshot_2024-03-26-16-12-15-1.png
Screenshot_2024-03-26-16-12-10-1.png
 
Back
Top Bottom