Kwa alichokisema Nape leo kama sio 4R za Rais Samia, tungerudi kule kule kwenye kutiana ulemavu

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza.

Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani wa Chadema Boniface, kuna mtu anaitwa Martin cjui kuna Lema na wenzake, wanatukana hadi unakosa raha.

Wengine sisi malofa hatuna ubavu wa kuwashughulikia akina Jacob lakn tunaumia sana kuona wakimtukana Rais.

Jacob anafikia hatua ya kumdhihaki afisa uhamiaji kwa kumuita bumunda na watu wanamchekea.

Leo Nape anasema ndani kulikuwa na mijadala ya kuwashughulikia wahalifu hao wa mitandao lakini Rais akamuita na kumwambia hapana, kuwa mvumilivu samaria 4R zangu.

Mhe.Rais, ana watoto, ana familia, ana roho kama sisi, kwanini mumdhalilishe kiongozi wetu nyie Chadema? Mnataka kuturudisha kule kule ili mrudi Canada kuendelea na maisha yenu?

Mbona Mbowe hatukanwi, mbona Lissu hatukanwi.

Acheni siasa hizo, nchi ina amani hii, kazi ya kujenga nchi sio lelemama, mmeachiwa muandamane mnataka nini sasa, mnadhani watu wanafurahia mnayomfanyia Rais wetu.

Nakuombea kwa Mungu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utimize malengo yako ya kuongoza nchi.
 
Wacha uongo wako wewe mbilikimo, Rais hajawahi kutukanwa humu,sana anakosolewa na kulaumiwa kwa ufisadi unaofanywa na wateule wake.

Kama ni matusi humu anayekogoa matu ya wanaccm wenzako ni Mbowe na Lissu kwani wanatukanwa hadi matusi ya nguoni kabisa. Eleza lini Rais ametukanwa matusi ya nguoni humu? Kama umeamua kuwa chawa ni haki yako lakini usiseme uongo,wewe sifia sana hata ukitaka kugaragara uchi huku unaimba mapambio ya kumsifu Rais ni ruksa.
 
Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza.

Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani wa Chadema Boniface, kuna mtu anaitwa Martin cjui kuna Lema na wenzake, wanatukana hadi unakosa raha.

Wengine sisi malofa hatuna ubavu wa kuwashughulikia akina Jacob lakn tunaumia sana kuona wakimtukana Rais.

Jacob anafikia hatua ya kumdhihaki afisa uhamiaji kwa kumuita bumunda na watu wanamchekea.

Leo Nape anasema ndani kulikuwa na mijadala ya kuwashughulikia wahalifu hao wa mitandao lakini Rais akamuita na kumwambia hapana, kuwa mvumilivu samaria 4R zangu.

Mhe.Rais, ana watoto, ana familia, ana roho kama sisi, kwanini mumdhalilishe kiongozi wetu nyie Chadema? Mnataka kuturudisha kule kule ili mrudi Canada kuendelea na maisha yenu?

Mbona Mbowe hatukanwi, mbona Lissu hatukanwi.

Acheni siasa hizo, nchi ina amani hii, kazi ya kujenga nchi sio lelemama, mmeachiwa muandamane mnataka nini sasa, mnadhani watu wanafurahia mnayomfanyia Rais wetu.

Nakuombea kwa Mungu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utimize malengo yako ya kuongoza nchi.
UKWELI UNAPOSEMWA SIO MATUSI
 
Taja tusi mojawapo alilotukanwa mhe.Rais. au akikosolewa kwako ni tusi? Na kama ni CDM peleka malalamiko yako kwa msajiri wa vyama na kama ni Jacob, Lema na wengine nenda polisi na mahakamani.
 
Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza.

Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani wa Chadema Boniface, kuna mtu anaitwa Martin cjui kuna Lema na wenzake, wanatukana hadi unakosa raha.

Wengine sisi malofa hatuna ubavu wa kuwashughulikia akina Jacob lakn tunaumia sana kuona wakimtukana Rais.

Jacob anafikia hatua ya kumdhihaki afisa uhamiaji kwa kumuita bumunda na watu wanamchekea.

Leo Nape anasema ndani kulikuwa na mijadala ya kuwashughulikia wahalifu hao wa mitandao lakini Rais akamuita na kumwambia hapana, kuwa mvumilivu samaria 4R zangu.

Mhe.Rais, ana watoto, ana familia, ana roho kama sisi, kwanini mumdhalilishe kiongozi wetu nyie Chadema? Mnataka kuturudisha kule kule ili mrudi Canada kuendelea na maisha yenu?

Mbona Mbowe hatukanwi, mbona Lissu hatukanwi.

Acheni siasa hizo, nchi ina amani hii, kazi ya kujenga nchi sio lelemama, mmeachiwa muandamane mnataka nini sasa, mnadhani watu wanafurahia mnayomfanyia Rais wetu.

Nakuombea kwa Mungu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utimize malengo yako ya kuongoza nchi.
Njia ya mkato kwa viongozi wa chadema kupata pesa za wafadhili kwa kuwahadaa kuwa wanaonewa, njia ya mkato ni kuchokoza wachapwe.

Mama kawastukia.
 
Back
Top Bottom