BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,501
Hii nchi ina vituko sana, kinacho itwa vita dhidi ya Ufisadi ni hadaaa kubwa sana, Raisi mwenyewe anajua fika kilicho nyuma ya Pazia.
Kuna mtu wangu mmoja hivi ambaye ni Dereva wa mmoja wa Mabosi wa Taasisi iliotajwa kwenye report ya CAG kwa kupiga Mabilioni ya Umma kanitonya kwamba Bosi wake huyo alishaombewa msamaha kitambo kwa Raiasi na hivyo yuko huru sasa.
Akaniambia iko hivi, mara baada ya report kutoka wale waliotajwa kwenye report hasa mabosi wakubwa wa taasisi tofauti walikusanyana na wakawa wanafanya vikao visivyo rasim vya wanatoka vipi au wanapona vipii na sakata la report ya CAG, Wakaja na wazo la kuwaface watu wa heshima walio karibu na Raisi hasa wale wastafu pia watu wa heshima walio bado kaszini, ila pia wanajua fika huo utaratibu upo na ndio maana hata wao wakapata nguvu ya kufanya hivyo.
Mabosi watajwa kwenye report ya CAG ikabidi watafute hao wastafu na kura zikamwangukia Raisi mstafu Kikwete,Yusufu Makamba ,Mizengwe Pinda na Philip Mangula,kwa Raisi mstafu Mwinyi ilishindikana kwa sababu ya kuwa kwa sasa hakutani kutani kabisa na watu hovyo hasa hawa wachini.Kwa walio kazini alipendekezwa Spika wa Bunge Mh Tulia.
Watajwa hapo juu inasemekana Raisi anawakubali mno na hakuna jambo watamshauri asilifanyie kazi.
Kilicho fanyika ni jamaaa waligawana sasa au kila mtu akapick mtu wake kujaribu bahati,na Mshikaji wangu ananitonya kwamba Bosi wake yeye huenda aliombewa msamaha na Spika wa Bunge na pia wapo walio mface Yusufu Makamba na wapo walio mface Kikwete, Wengine Mizwenge Pinda na inasemekana walio mface Kikwete na Makamba ni wengi sana na idadi chache ilimface Spika na wengine Philip Mangula na Mizwengwe Pinda pia.
Sasa terms za misamaa inabakia siri ya anaye Samehewa na anaye enda kuomba Msamaha kwa Mama kwa niaba.
Ila ni kwamba asilimia karibia yote wameisha samehewa au wameombewa misamaha kwa Mama na watu tajwa hapo juu hivyo usitrajie tena kusikia wana chukuliwa hatua yoyote ile labda kuhamishwa ila kufukuzwa hakupo.
Kwa mlio msio jua swala la Viongozi wastafu kutumika kuombea watu misamaha sio swala geji lipo miaka na miaka ila awamu ya Magufuri hili swala lilififia kwa sababu hata Wastafu walikuwa wanagwaya kwenda kwa Jiwe kuombea watu misamaha,awamu ya 4 huu mfumo ulikuwa kwenye pick yake na awamu hii umerudi tena.
NB:Kwa wanao uliza kwa nini watu hufukuzwa kazi hasa wakuu wa wilaya, Mikoa na Wakurugenzi na baada ya miezi kadhaa huteuliwa tena? Process ni hii hii inatumika ya kuombewa msamaha,Hivyo msiwacheke wanao tumbuliwa sasa make wataombewa misamaha na watarudi kazini muda sio mreru.