Rais Samia analalamikia wezi wapi wa pesa za Serikali? Aliowasamehe?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Report ya CAG mwaka jana, Rais Samia aliwasemehe wale wote walio tajwa kwenye report na hawakutakiwa kurudisha hata 10 walizo piga. Leo hii anakuja na swagwa za kulalamika? Ili kuwachota akili wajinga wa Taifa hili?

Leo hii Rais anakuja na kilio cha machozi ya Mamba kutuaminisha kwamba kuna wezi wanaiba pesa za Serikali? Raisi ndio sababu ya huo wizi na yeye nahisi kuna 10% anapata kwa kila upigaji la sivyo asingewasamehe walio tajwa kwenye report. Rais hawezu wasamehe kama hanufaiki na wizi huo.

Haya ni machozi ya Mamba tu kwamba ana huzunika sana, anaumia, ila ukweli ni kwamba yeye ni sehemu yamtando unao piga pesa za Serikali. Ushahidi ni hii ya kuwasamehe walio tajwa kwenye report ya CAG.

Na kwasababu pia anaongoza Taifa la Wajinga ambao kutwa nzima ni stories za Yanga na Simba tu wacha wajipigie pesa.

IMG_20240314_074536.jpg
 
Makonda alimlipa mwananchi gari ambalo polisi walizembea hadi gari likabaki screpa, Sasa kama hawachukuliwi hatua unategemea nini?
 
Back
Top Bottom