BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,705
- 6,503
Nangoja Upigaji wa Report ya Mwakani nione Raisi ataongea nini wakati anakabidhiwa report make walio husika na Ufisadi mwaka huu kawasamehe mara baada ya kuombwa na Wakina Kikwetwe, Tulia akson na Yusugu Makamba bila kumsahau Mizengwe Pinda.
Bila shaka report ya Mwakani kutakuwa na machozi ya mamba tena kuwahadaa wajinga na mazezeta wa Taifa hili kwamba watawala wana uchungu na Mali za Umma ilihali nyuma ya pazia wanaombewa msamaha na kuambiwa wasirudie.
Nchi imjaaa hadaaa na watawala wanajua vyema kucheza na akili za wajinga wa Taifa hili ambao ni asilimia zaidi ya 90.
Walio piga pesa walisamehewa na kuambiwa wasirudie tena, fikiria mtu anasababisha upotevu wa Billion 30 anasamehewa na kuambiwa asirudie tena kusababishia Serikali hasara na baada ya msamaha walikuwa wanaenda kuangusha bonge la part ya kimya kimya kujipongeza.
Hapa anaye paswa kubeba lawama ni huyu anaye Upiga mwingi make anahusika kwa asilikia 100 kuwasamehe.
Kuna Mkurugenzi mmoja sitamtaja jina aliangusha parti ya nguvu nyumbani kwake kusherekea kusamehewa na Mama.
Ule mjadala juzi kati Bungeni ilikuwa ni hadaaa kuu ya kuwahadaaa wajinga wa Taifa hili ambao nasema ni asilimia 90 na. Tulia anahusika kwa asilimia zote kuwaombea watu misamaha na huyo huyo anajigeuza anaenda kuongoza mjadala wa kujadili report ya CAG Bungeni.
Ngojeni report ijayo muone hadaa zingine na vilio vya machozi ya Mamba.