DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,610
- 17,818
Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana..
Walau hata kwa 40%
Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi..
Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yetu..
Tumekuwa na CHAMA Tawala (CCM) Chenye Imani ya Ujamaa (Socialism) katika Uongozi na Nchi ya wa Kibepari..(Capitalism)..
Tuachane na hayo maana hayatudii
Turudi kwenye mada..
Tatizo la wagombea wanaopatikana kwa Vyama ni nini hasa
Nini suluhisho..
Kwakuwa Imani Huwezi kuibadili na Kubadili imani Pia Huonesha unafikia ni muda sasa..
Wa Ile katiba ya Waryoba kufanyiwa kazi na kuruhusu Mgombea Binafsi asiye na chama
Nina ilani kuwa..

- Chama kushangilia Afanyacho mgombea wao hata kama alichokifanya ni uvunjaji wa sheria
- Ongezeko la Chawa wanaosifia hata kama hawapendi ila tu kwakuwa anayefanya katoka chama fulani
- Ongezeko la watu wanaoponda hata kama mtendaji aliyefanya jambo.hilo kalifanya kwa ubora na anahitaji sifa ila tu kwakuwa katoka chama tofauti na chake bhasi atatafuta kosa kwenye wema huo
- Chama kutetea hata pasipo na ulazima wa kutetea
Nini suluhisho..
Kwakuwa Imani Huwezi kuibadili na Kubadili imani Pia Huonesha unafikia ni muda sasa..
Wa Ile katiba ya Waryoba kufanyiwa kazi na kuruhusu Mgombea Binafsi asiye na chama
Nina ilani kuwa..
- Itakuwa ni vyepesi Kuona mahali anapofanya vizuri na kukosea kwa sababu hatakuwa na upinzani na wewe
- Pale anapokosea wote mtajua kama kweli kakosea kwa sababu hakutakuwa na kustick au kufumbwa na uchama
- Itakuwa ni vyepesi kumuwajibisha katika bunge kwa kuwa hatakuwa mwenyekiti wa chama chochote kinachomiliki wabunge hao bungeni..