Ni ushauri tu, Vijana jifunzeni kuheshimu Viongozi waliopo Madarakani

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Ni muhimu vijana wafundishwe kuheshimu Mamlaka zilizopo

Vijana tuheshimu Serikali za Vijiji.
Tuheshimu Mamlaka za kata .
Tuheshimu viongozi wa Wilaya.
Tuheshimu Mamlaka za Mikoa.
Tuheshimu Mawaziri na Serikali kwa ujumla.

Yeyote aliyopo madarakani kwa kuchaguliwa, kuajiriwa au kuteuliwa na Mamlaka, yupo hapo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kuna muda una huelewi kuna vyama vinajinasibu kutaka kuwa mbadala wa CCM lakini hawaheshimu Mamlaka, Hawaheshimu viongozi waliopo madarakani, kwa hili tu ni kwamba Waheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, je katiba mpya wataheshimu kama iliyopo Hawaheshimu?

Watanzania, Serikali hii ya Awamu ya sita imefanya kila kitu kinchotakiwa kufanyika, Imeimarisha huduma za Afya kwa kujenga na kuboresha Zahanati, Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya, Mikoa, Kanda na Hospi6za rufaa. Aidha vimenunukiwa vifaa vipya vya kutoa kutosha vya kutolea huduma ikiwa ni pamoja na magari ya wagonjwa.

Serikali hii ya awamu ya sita imeboresha huduma za Elimu kwa kiwango cha juu, Mabweni yamejengwa, nyumba za Walimu za kutosha zimejengwa, vyumba vya madarasa vimejengwa vya kutosha na madawati yamechongwa kuhakikisha hakuna mtoto anakaa chini.

Miundo mbinu ya barabara, Tanzania ya sasa hakuna mkoa na Wilaya unaenda haujaunganishwa na mtandao wa lami, madaraja yamejengwa ya kutosha. Mvua zimekuwa zikiharibu miundo mbinu ya barabara na madaraja lakini Serikali hii imehakikisha hakuna barabara inayaoharibika na isitengenezwe ndani ya masaa 48.

Vivuko vinajengwa na kumailiziwa, SGR inaendelezwa kama kawaida, BRT inaendelezwa..

Itaendelea.....

Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
 
Pumbavu zako... Hizo Barbara zimejengwa kwa kuozeshwa kwako?, au hao viongozi wameuza mashamba yao wakajenga hiyo miundo mbinu?.

Heshima hailazimishwi inakuja unapofanya vizuri ...... Unaweza kumheshimu kiongozi aliyelanguza loliondo, Ngorongoro, Bandari.... Punguza utahira wako.
 
sasa umeshatukana pumbavu zangu unataka nijibu nini mkuu Exy
 
Ni muhimu vijana wafundishwe kuheshimu Mamlaka zilizopo

Vijana tuheshimu Serikali za Vijiji.
Tuheshimu Mamlaka za kata .
Tuheshimu viongozi wa Wilaya.
Tuheshimu Mamlaka za Mikoa.
Tuheshimu Mawaziri na Serikali kwa ujumla.

Yeyote aliyopo madarakani kwa kuchaguliwa, kuajiriwa au kuteuliwa na Mamlaka, yupo hapo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kuna muda una huelewi kuna vyama vinajinasibu kutaka kuwa mbadala wa CCM lakini hawaheshimu Mamlaka, Hawaheshimu viongozi waliopo madarakani, kwa hili tu ni kwamba Waheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, je katiba mpya wataheshimu kama iliyopo Hawaheshimu?

Watanzania, Serikali hii ya Awamu ya sita imefanya kila kitu kinchotakiwa kufanyika, Imeimarisha huduma za Afya kwa kujenga na kuboresha Zahanati, Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya, Mikoa, Kanda na Hospi6za rufaa. Aidha vimenunukiwa vifaa vipya vya kutoa kutosha vya kutolea huduma ikiwa ni pamoja na magari ya wagonjwa.

Serikali hii ya awamu ya sita imeboresha huduma za Elimu kwa kiwango cha juu, Mabweni yamejengwa, nyumba za Walimu za kutosha zimejengwa, vyumba vya madarasa vimejengwa vya kutosha na madawati yamechongwa kuhakikisha hakuna mtoto anakaa chini.

Miundo mbinu ya barabara, Tanzania ya sasa hakuna mkoa na Wilaya unaenda haujaunganishwa na mtandao wa lami, madaraja yamejengwa ya kutosha. Mvua zimekuwa zikiharibu miundo mbinu ya barabara na madaraja lakini Serikali hii imehakikisha hakuna barabara inayaoharibika na isitengenezwe ndani ya masaa 48.

Vivuko vinajengwa na kumailiziwa, SGR inaendelezwa kama kawaida, BRT inaendelezwa..

Itaendelea.....

Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Wanaheshimu, ni baadhi ya viongozi ambao hawajiheshimu, wanawachukulia vijana as group la watu ambao wanaweza kuwatumia ku gain political goals halaf baadae kuwatupa.
 
Hakuna andiko lolote linalotutaka kuwaheshimu wezi wa kura.
 
Back
Top Bottom