25 March 2024
Muheza, Tanga
Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa
CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA
Kamanda Yosefa Komba aitisha...
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu
Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini...
Siku zote, historia yako, ndiyo hutoa imani kwa watu wengine.
Hivi ni tangu lini anayejulikana ni mwizi na fisadi, mtu akasema amemwona anaiba, taarifa ikatolewa kwa jamii inayomzunguka, mwizi...
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.
Akawapotezea...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi Quran Tukufu na kufundisha watoto wao kuisoma na pia...
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la...
Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao...
Nyakati Hizi za Mfungo ni za kuelezana Ukweli Kwamba Chadema wanafanya Matembezi ya kutoa Ujumbe kwa Serikali lakini siyo Maandamano
Maandamano huwa hayana kikomo hadi pale kile kinachopambaniwa...
Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu...
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu...
Naamini Waziri Mkenda au msemaji wa Serikali wanaona mjadala mkubwa kuhusu combinations mpya za masomo ya kidato cha tano na sita kujumuisha masomo ya kidini. Sasa wasikae kimya, kama wanaona...
Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza...
Wakati waziri Ndumbaro anapiga mkwara kuvaa jezi za Ubuntu Botho au Etisalat alianza na neno wao kama Serikali hawatanii na alienda mbali kusema nguvu ya vyombo vya dola itatumika kwa yeyote...
Siku moja baada ya kuchaguliwa uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera, bosi wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba amesema ataanza na mambo sita ikiwamo kuamsha ari ya wanachama...
Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa...
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote
Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa...
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo...
Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna...
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.