Kwa kweli there is no better way to explain shida za mafuta, umeme, nk.
Upande wa wafanyabiashara, wana hoja na zina mantiki... hasa kuhusu ulaghai!!
Upande wa serikali... tunasikia kujadili...
Monday, 08 August 2011
NA HAMIS SHIMYE
Gazeti la Uhuru
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeitoza faini ya sh. milioni 100 CHADEMA, baada ya kubainika inakwepa kodi tangu ilipoanzishwa mwaka...
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Mazingira.James Lembeli
Barrick yawakodia wabunge ndege kwenda Nyamongo
HATUA ya uongozi wa mgodi wa North Mara Barrick uliopo Nyamongo...
Desperate: Seven-month-old Mihag Gedi Farah weighs just 7lbs and was hours from death after arriving at a field hospital in Dadaab, Kenya
Read more: Mihag Gedi Farah: Haunting face of East...
Katika mdahalo kati ya Mh.Ndugai na Mh Tundu Lisu uliorushwa live katika kituo cha Star TV, Ndugai alisema kuwa CHADEMA wanavaa magwanda kama mgambo kuitisha serikali.
Je hakuona haya magwanda ya...
Wana Jf
Nimesoma habari ambayo imenistua na imenibidi niongee na Mhariri wa Gazeti la Mtanzani Ndg Jacton Manyerere na amenithibitishia kuwa habari aliyoandika ni ya uhakika.
Idara ya Uenezi na...
Leo tarehe 10 agosti 2011 mbunge wa Ubungo (John Mnyika) aliomba muongozo wa spika bungeni kwa mujibu wa kanuni 68 (7) kutaka serikali itoe maelezo kwanini ahadi ya waziri mkuu ya kuzishirikisha...
Huu ni mkataba ambao Uvccm waliupeleka kwenye baraza kuu lililofanyika Dodoma na wamekubaliana kuusaini na uliosainiwa utawekwa hapa baadae kwani wanatukwamisha na mtajua ni kwanini mafuta...
Kuna tetesi zimeenea kuwa makabila yote isipokuwa mawili tu yaani Wasukuma na Wagogo,mengine ni ya wakuja kwa kifupi sio hasa wastahili wa kua hapa Tanzania,na jamaa mmoja akadai kuwa ndo chanzo...
Wapendwa wadau wa JF naomba kupewa taarifa rasimi na wizara au taasisi inayohusika na mbuga zetu za wanyama, mapato yake yanasaidia vipi maendeleo ya taifa?
Wananchi wanaoishi kwenye mikoa ya...
Kuanzia jana hata leo hapa mjini Moshi watu wamelazimika kutembea kwa miguu kwani usafiri ni wa shida. Kuna ukosefu wa mafuta hasa petroli. Ninafananisha hii kutembea kwa miguu sawa na maandamano...
Wana-JF kwa muda wa masaa 36 yaliyopita wengi wetu tumekuwa tukishanda hapa nyavuni, tukijaribu kuangalia nini nyavu zinaweza zikanasa kuhusiana na sakata Luteni General Shimbo.
Wachangiaji wengi...
Kuna Tetesi kwamba Wabunge wa CCM wamepigwa Mkwara na Chama chao kutokutaka Ushahidi toka kwa Wabunge wa Upinzani pale wanapowasilisha madai yao dhidi ya Serikali.
Kwani kwa kutaka ushahidi...
Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali...
Kwa muono wangu rais slaa chukuwa nchi hii doct kikwete pamoja na mawaziri wake wanasiri kuwa nchi hii wameishindwa baba tuko chini ya miguu yako plz fanya uwamuzi wa haraka baba tuna angamia
CCM wametutangazia dhamila yao ya 'kujivua gamba'. Nape amekwenda mbali zaidi kwa kututajia magamba husika kwamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Nimekuwa nikijitahidi...
Nadhani mnaikumbuka hii methali. CCM wamecheza na mbwa (wafanyabiashara) hadi amewafuata mskitini!! wafanyabiashara wamekuwa marafiki wa ccm kwa muda mrefu sana. Wkati wa chaguzi wanakwenda...
Nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.Maana mpaka sasa mkoa wa Dar es Salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa RC William Lukuvi kuukwaa...
Kutokana na Rais kufikisha safari zaidi ya 310 nje ya nchi nashawishika kusema kuwa huyu jamaa wizara hii ilimfaa sana namheshimu Brother Ben kwa kumpa hii maana anaitumikia mpaka sasa na sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.