Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
After 50 yrs of independence...is this the best we can do?
After 50 yrs of independence...is this the best we can do?
Kwani tumeulizwa nini mkuu na mbona mimi mtazamo wangu afrika hii akuna nchi ambayo hipo advance saana na ni matokeo ya watu wake halisi "afrikans" Kama waweza nitajie moja. Mimi naona matatizo ni yale yale kama kunawatu hawataki tupige hatua dunia hii tukipiga tano twarudi mbili nyuma.kwanini mnafikiria swali linauliza kuhusu gari; ndio maana huwa tunafeli mitihani mingine.. LOL
green? au macho yangu hayaoni vizuriNimependa majani yalivyo green
After 50 yrs of independence...is this the best we can do?
Nimejaribu kuconnect picha hii na jukwaa la siasa nimeshindwa...
kuna hoja gani ya kisiasa hapo inabidi tujadili!?
Naam Miaka Hamsin 50 ya uhuru tumefanikiwa kuwa na Track ya kupeleka sabasaba ground kwenye maonyesho tu,na si kwenye field kufanya kazi, hayo ndio Maendeleo.Japokuwa wewe mtizamo wako miaka hamsin tuwe zaidi ya hiyo truck hapo,lakini kwa kuwa tu watz na tunalidhika mapema haswa tunapokuwa kwenye nafasi za maamuzi hivyo kutujengea kuwa watu wa kulizika mfano huo tumelizika na ubunifu wetu wa kuleta gari kwenye maonyesho basi imetosha.What next?
She looks so sweet and innocent like her dear sister beside!!!!!!!!!!!!!!