Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa walio Dodoma au wenye access na wachangiaji wa mjadala wa Wizara wa Viwanda na Biashara sasa hivi Dodoma naomba niwasilishe yafuatayo: 1: Brela Kuna tatizo kubwa sana pale Brela. Kufanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu, Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Wadau, Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro...
3 Reactions
138 Replies
14K Views
Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana, fikra huru haziwezi kuibishana katika hii hoja, Kwa mujibu wa serikali tawala ukianagalia mipango mikakati na sera zote zinathibitisha hili kwa uwazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali. KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Hali ya Tanzania ni tete, na wasiwasi hatutamaliza huu mwaka kama mabadiliko ya haraka hayatatokea. Mawaziri wa Kikwete wamekuwa kama hawapo, waziri mkuu amekuwa kama picha ujinga unatendeka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 09 August 2011 21:16 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi Mussa Juma, Dodoma KAULI ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi kwa wabunge wa jiji hilo kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kuliza Waziri wa nishati na madini Mh. W ngeleja yuko wapi? Awezekujibu swali hili? Je mafuta tatizo ni formula tu au kuna jingine? Kama ni formula? Kilichopunguzwa ni kodi na tozo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
SAKATA la kuuzwa kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limezidi kugonganisha vichwa vya mamlaka mbalimbali, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuhamisha mchakato wa uchunguzi huo kutoka...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wana JF, Kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 August, hivyo wauza mafuta watagoma J3. Wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha...
0 Reactions
267 Replies
23K Views
Kwa mazoea tunadhani kuwa Rais bora ni lazima awe mwanachama wa chama fulani cha siasa, na kwa bahati mbaya katiba yetu ya sasa hairuhusu wagombea huru katika ngazi zote kuanzia Madiwani, Wabunge...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
BigBon awezeshwe kuagiza mafuta... ameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuanzia misitu hadi samaki, wanyama, uwindaji, ujenzi, viwanda, umeme, na sasa MAFUTA; Bongo imekuwa ikiendeshwa na matakwa ya LOBBYISTS (hasa katika miaka 10 ya karibuni) na kupelekea wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Copec waruhusiwa kufanya biashara ya mafuta tena. Copec ni kampuni ya serikali
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Juzi jumamosi nikitoka kibaruani nilimpita mtaa wa Jamhuri kama uanaelekea NBC Mnazi mmoja kuna muuza vitabu mtumba ,kama kawaida nilipause niangalie kama naweza kupata chochote. Hamadi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna tetesi kua Viongozi waandamizi wa Serikali wanachangia kuhujumu Reli kwa kupeleka Bajeti kubwa kwenye ujenzi wa barabara ili kwao iwe rahisi kwa magari yao kuweza kusafirisha abiria na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://www.raiamwema.co.tz/ Spika wetu na wauchapao usingizi bungeni! Evarist Chahali Uskochi 3 Aug 2011 Toleo na 197 MATUKIO ya kutia aibu yanayozidi kutokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 03 August 2011 Anauma na kupuliza‘Auchuna’ kuhusu ufisadi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitendawili- tega. UDA imekutwa na ufisadi mkubwa uliowahusisha vigogo wa CCM akiwepo Simba, Masaburi, mtenvu and Azan. Wako ambao hawajajitokeza kwenye magazeti ambao uchunguzi unaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom