Hivi Dar itakaimiwa mpaka lini?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,043
10,686
Nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.Maana mpaka sasa mkoa wa Dar es Salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa RC William Lukuvi kuukwaa uwaziri. Si DSM pekee bali pia kuna baadhi ya wilaya zinakaimiwa kitambo sasa na mambo yanaenda, hivyo kupelekea niamini kuwa na utitiri wa watendaji katika ngazi za mikoa,wilaya nk si kuleta tija ila mzigo tu kwa walipa kodi.
 
nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.maana mpaka sasa mkoa wa dar es salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa rc william lukuvi kuukwaa uwaziri. Si dsm pekee bali pia kuna baadhi ya wilaya zinakaimiwa kitambo sasa na mambo yanaenda, hivyo kupelekea niamini kuwa na utitiri wa watendaji katika ngazi za mikoa,wilaya nk si kuleta tija ila mzigo tu kwa walipa kodi.

ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres...
 
Mkuu nimesoma mabandiko yako mengi tangu ujiunge JF hakuna lilionikuna kama hili bravo.

ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres...
 
kwani wewe unakosa nini ? umelala njaa kwa kuwa hakuna mkuu wa mkoa ? fanya kazi na jadili mambo ya maana.
 
nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.maana mpaka sasa mkoa wa dar es salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa rc william lukuvi kuukwaa uwaziri. Si dsm pekee bali pia kuna baadhi ya wilaya zinakaimiwa kitambo sasa na mambo yanaenda, hivyo kupelekea niamini kuwa na utitiri wa watendaji katika ngazi za mikoa,wilaya nk si kuleta tija ila mzigo tu kwa walipa kodi.
msubirie law masha anakuja!!!!
 
Back
Top Bottom