CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Aug 6, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wana Jf

  Nimesoma habari ambayo imenistua na imenibidi niongee na Mhariri wa Gazeti la Mtanzani Ndg Jacton Manyerere na amenithibitishia kuwa habari aliyoandika ni ya uhakika.

  Idara ya Uenezi na Itikadi ya CCM ambayo ipo Chini ya Ndg Nape imeanzisha Mtandao wa Vyombo vya Habari na wana Habari Rafiki na Bloggers na amekuwa akikutana nao Mara kwa Mara.

  Kutokana Taarifa za Gazeti la Mtanzania (Media House ambao si Rafiki na CCM kwa Sasa), media ambazo hazitahudhuria ktk mkutano wa Tar 13 na 14 mwezi huu utakaofanyika Morogoro ni Mwananchi Communication, New Habari, Hali Halisi na Free Media. Vyombo hivi si Rafiki wa CCM.

  Na Bwana Jacton ansema doc ya FCCM inaonyesha uwepo wa Mpango Mkakati wa Kuanzisha FORUM itakayoitwa KWETUFORUM na pia utaanzishwa mpango halisi wa kuimaliza Jamii Forums.

  Pamoja na mpango huu awali walikua wakutane Dodoma wakati wa kamati kuu na mnamo mwezi wa Tano Nape alifanya kikao makao makuu ya CCM na akakutana Bloggers na kuwaahidi kuwasaidia lakini waisaidie CCM ktk Mkutano huo alikuwepo Blogger mmoja wa Jinsia ya Kike anaeitwa Shamim kutokana na mahudhurio ya kikao hicho.

  Kilichonishangaza ni baada ya kusoma Agenda za Mkutano ktk Gazeti la Mtanzania leo nimeshangaa katibu wa mpango huu ni dada ambaye sisi hapa Nipashe alikuwa haheshimiki na alisimamishwa kazi.

  Binafsi hii ninailaani kwakua inaleta Taswira Mbaya na ninatarajia kuona Editors Forum wanalifanyia kazi kama CCM inatugawa wana Habari ktk Makundi ya Rafiki na Adui ni jambo baya kufanywa na chama kikongwe kama Hiki. Nadhani huyu dogo Nape amechanganyikiwa kabisa.

  Nimeona niilete hapa Jamvini Tulijadili.

  Story ipo ukurasa wa kwanza ktk Gazeti la Mtanzania na inaendelea ukurusa wa nane.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe umeleta hii topic ijadiliwe na tayari umeshaonyesha prejudice. You ostensibly seems to be skeptical about the forum to be launched, but in reality you have personal grudges against the lady. I am afraid this is not the right platform for slandering other's personalities.
   
 3. m

  mndeme JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha tujadili kama hutaki better u shut up!
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umenisaidia kusema
   
 5. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndugu soma between lines, mleta mada hakuleta kwa kuwa ana personal grudges na huyo dada mratibu wa project hii, ila ametoa tu angalizo juu ya wasifu wa dada kuwa " ni mwenye tabia mbaya na alifukuzwa kazi Nipashe".

  Muhimu hapa ni kujadili hoja yake kuwa CCM wanagawa waandishi wa habari na media house kwa ujumla kuna adui na rafiki! Lakini hii pia inadhihirisha unafiki wa Nape, kama ana consider Mwananchi communication kama adui wa CCM mbona juzi kati hapa alitembelea ofisi zao pale Tabata relini na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya! Double standard!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Da ni kweli mbaya sana ccm kutugawa namna hii that is not fear! ccm hamuionei huruma nchi hii jamani, jisafisheni na mumshauri raisi wenu vizuri badala yake nepi anazidi kuharibu tuuu! HUU MPANGO SI MZURI KWA MANUFAA YA TAIFA!
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Haya mengine (bold)ni maoni yako mwenyewe, mbona hujauliza FREEMEDIA nao wamo??!!

  Wataalamu wa Propaganda wanalielewa hili; kazi kubwa ya chama cha siasa ni ku-win media house na kuwa nao karibu hapo image yako kisiasa inatolewa vizuri. CCM walikuwa na utaratibu huu wakati wa kampeni ya 2005 na siku zilizofuatia baada ya uchaguzi, wakati huo RA ndie alihusika na usingeona negative story yoyote juu ya mtandao wa jk. Walipoanza kuvuana magamba, idara hii ikapwaya na matokeo yake unayaona.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ccm washakufa msiwe na wasiwasi wanatapata tuuu km mfamaji. haata waanzishe sijui nini tutaingia huko huko na kuwaponda
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Umepiga mwaski au umekatiwa Maji na umeme? Kama huna la kukomenti ni bora ufunge bakuli lako
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waanzishe mara ngapi na wakati tayari wanayo forum hii hapa. mapinduzi forum
   
 11. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Propagandist at work
  Kuhusu huyo mdada kufukuzwa kazi sidhani kama nilakushabikia, huenda boss ndo mwenye matatizo. wangapi wanafukuzwa kazi hata kwa sababu alimtaka mtu kingono tu. Be smart men/women.
   
 12. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Kimsingi hyo ndo kazi ya nape na naona anafanya vizuri ila wa kulaumu ni hizo media zinazo align nae.am afraid watapoteza mapato sana,cha msingi hapa ni kuzijua hzo media na kuzitemea mate.
   
 13. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Kimsingi hyo ndo kazi ya nape na naona anafanya vizuri ila wa kulaumu ni hizo media zinazo align nae.am afraid watapoteza mapato sana,cha msingi hapa ni kuzijua hzo media na kuzitemea mate maana zinatusaliti.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Wacha waanzishe...ni haki yao,tutakutana huko huko !
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Huwezi kuanzisha chombo cha habari cha chama kikafanikiwa hata siku moja. CCM should now btter from uhuru, Mzalendo radio uhuru experince.

  Hata mzalendo na uhuru wakisema waaanze kukosoa Serikali bado hawawezi kufanikiwa. CCM watumie brain kufanya kazi na vyombo vilivyopo sio kukimbilia kuanzisha vymbo vya habari vya chama.

  Kama wana hela za mchezo wawawaambie makada wao waanzhishe forum na vyombo vya habari sio wao kama Chama.
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Not right for you relax and be free coz you are not bound by the topic.
   
 17. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,835
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Waacheni wafu wawazike wafu wenzao! Blogs and Forum hazitaiokoa CCM
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli nawapongeza CCM. Suala ni kwamba wavumilie hoja za wachangiaji na wasichakachue. JF tuna uhuru unaoanzia kwenye kuheshimu ID zetu, halafu hatuna fungamano la kisiasa na mwisho michango ye baadhi yetu inaelemea na kutegemea utafiti na experience hasa za mitaani kuhusu maisha ya watu na utendaji wa serikali.

  Kitu cha wazi ambacho kimeniweka kando ni huko KUISADIA CCM.Kwani lini imekuwa mlemavu anaehitaji msaada? Kwa mtaji huo tutaona mambo yatakavyo endelea.
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa hoja hawataweza kuimaliza jamii forums...labda wajaribu cyber attack....! lakini hata wakijaribu cyber attack itakula kwao ...maana ma hackers tupo fit hapa!
   
 20. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nimeicheki hiyo kitu ...aisee! kama forum ya kindergarten!
   
Loading...