• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Mtumishi Wetu
Reaction score
884

Profile posts Latest activity Postings About

 • T
  Habari,

  Unaweza kumweleza mwanao kwanza kabisa asome muongozo ulioandaliwa rasmi kwa ajili ya wanaotafuta kazi. Tumeuweka katika website yetu. Link yake ni > ZoomTanzania | Job Seekers Guide Pia anaweza kupost CV yake kwenye database yake, na watu mbalimbali wanaotafuta wafanyakazi wenye fani yake wataitembelea hiyo database na kuona kama atawafaa. Aende kwenye link hii > ZoomTanzania | Post A Listing, na achague category inayomfaa, kisha a-upload CV yake. Njia ya tatu ni kwenda kwenye ukurasa wa kazi wa ZoomTanzania > Tanzania Jobs | Jobs in Tanzania | Tanzania Employment . Katika ukurasa huu, anaweza kutafuta kazi kutokana na category anazopenda yeye. Mwambie asiogope, awe mkweli na awe na uhakika na vitu anavyovijua. Waajiri wataona anajiamini.
  Mkondakaiye
  Asante kwa kuipenda post yangu
  Ta Muganyizi
  Mkuu naona umeamua kupitia kila page safi sana. Hivyo ndo inatakiwaaa
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top