Kikwete alikuwa anafaa sana kuwa waziri wa mambo ya nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alikuwa anafaa sana kuwa waziri wa mambo ya nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Derimto, Jul 20, 2011.

 1. D

  Derimto JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kutokana na Rais kufikisha safari zaidi ya 310 nje ya nchi nashawishika kusema kuwa huyu jamaa wizara hii ilimfaa sana namheshimu Brother Ben kwa kumpa hii maana anaitumikia mpaka sasa na sijui raisi wa nchi ni nani hasa kwa sasa maana kama makamu wa rais hawezi kushika kiti chake anaishia kukata utepe tu na kuzunguka na wake zake Wawili na huku mzee wa vilio vya albino bungeni akionekana kuachiwa madaraka amabayo hawezi kuyatolea maamuzi na mpaka apige simu apewe maelekezo na hakuna wa kuweza kuchukua hatua kulingana na sheria za nchi!<br />
  <br />
  Kweli sidhani kama hapa nina Rais bali tunaye mtalii au waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ambaye nafasi yake bado anaipenda na amegundua kuwa urasis kwake hauna thaman maana nchi inaongozwa na mapacha watatu na yeye yuko pale kama Nduvule tu hivyo masilahi anayojifariji nayo no kuzurura kila nafasi mpaka napata mashaka kuwa kazi ya Benard Mende ni nini.
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asi anaenda kuwatafutia chakula jamani kuweni na shukrani mpeni nafasi apumue na kuwafikiria vizuri wana nchi wake
   
 3. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We umeambiwa kwamba Uwaziri wa Mambo ya nje kazi yake ni kuzurura nchi za nje?
   
 4. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  a WAKUU, IANZISHWE THEAD MAALUM KUHUSU SAFARI ZA VASCO DA GAMA WETU. THIS JUST IN. ADVANCE PARTY JANA IMEONDOKA KWENDA KUMUANDALIA HOTELI AUSTRALIA. ITAKUWA SAFARI YA NGAPI VILEE?
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Si alisshakaa sana tu huko na bado mtembezi?
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa Vizuri Mzee Wa Anga au Vasco da gama II anataka kwenda Australia? Hebu Rudia tena?
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  acheni wivu bwana, kwani tulimchagua ili?
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kama siku 310 ni safari za kutoka, vipi muda aliokaa nje na nchi hii! Ina maana kuwa kati ya miaka aliyo madarakani kuna mwaka mmoja hakuwahi ishi Tanzania. Maana Mwaka mmoja unasiku 366.

  siku 366 - 310 = 56 days

  56days = muda aliokuwa nje ya nchi Minus siku alizopanda ndege(310days).

  HII HATARI:

  Kila trip moja Approx. Tzs.20,000,000 x 310 = Tzs.6,200,000,000.00. Kazi ipo.
   
 9. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Anaenda kuhemea watoto mle..
   
 10. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuna dawa hospital, maternal death kila kukicha, njaa inapiga hodi,mmh Hiyo franga hapo si ingenunua hata vitamin A supplement na albendazole kwa watoto U5.
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Inanisikitisha mno na wakati mwingine nakosa la kuongea kwa sababu huyu jamaa amakuwa kama katoto katundu ambacho hakiwasikii wazazi wake hata kakionywa vipi. Watu wamebaki kumtazama tu labda atashutuka
   
 12. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  "Nilipopata mwaliko nilishtuka kidogo, kwa kuwa katika kipindi changu, sikuwahi kuhudhuria mchezo hata mmoja...

  "Mnakumbuka enzi zile za 'Ukapa' michezo, niliweka sehemu ya chini kabisa, hii ni kwa sababu awamu ya kwanza ya uongozi wangu ilikuwa ni lazima tutumie tulichonacho, tulikuwa na madeni, na hapo hapo tukawa tunalazimika kuomba kusamehewa madeni yetu.

  "Nguvu nyingi zilitumika kukusanya madeni yetu ya ndani na tutumie kwa fedha za kwetu na tulianza kulipa baadhi ya madeni...tulipata msamaha wa madeni nikasema ingawa sipendi michezo niliamua kuwaachia Watanzania wafurahi, nikajenga uwanja.

  "Namshukuru Juma Kapuya (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), alinihimiza sana...tuwe na uwanja wetu na kwa kutumia fedha za msamaha wa madeni, tukajenga uwanja wetu kwa kushirikiana na serikali ya China...

  "Na ndiyo maana ujenzi ulipokamilika, alikuja Rais wao, Hu Jintao akaufungua. Uwanja ule ni jasho la kodi zenu na kodi za watu wa China hivyo muutunze.
   
 13. D

  Derimto JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nadhani ni moja ya kazi zake ambazo anaweza kwenda kumwakilisha Rais pamoja na balozi wa nchi husika sasa kama Rasi mzururaji karibu kila mwezi huyo ni mtu wa aina gani?
   
 14. D

  Derimto JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani nadhani sasa nitaanza ku update kila mara anapoenda safari huyu sharomagamba
   
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimegundua kuwa kwa akili kama za kwako bado tuna kazi kubwa sana kutoka hapa tulipo
   
 16. D

  Derimto JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimeupenda huu mchanganuo wa haraka ulio ufanya utamsaidia kujiona yeye ni mtu wa aina gani humu duniani
   
 17. D

  Derimto JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni kwamba hana washauri na hata hao walipo wakimshauri hawezi kumsikiliza zaidi sana wanaogopa kupoteza kazi na hapo ndipo tunafikia kuwa kama mzee wa kulialia bungeni hawezi kufanya maamuzi kwa sababu hana madaraka ya kufanya hivyo mpaka mkubwa aseme akiwa huko.
   
 18. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  This is the best president ever for TANZANIA. Heri yeye anatalii, sasa wakuiba wake za watu je? si heri azurure badala ya kuvamia wake za watu kwenye mabaa, haa padri?
   
 19. V

  Vonix JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Vasco da Gama11 zee la anga(a.k.a)mbayuwayu alijisikia uchungu sana 1995 alipoambiwa bado hajakua kumbe aliyemwambia alijua kuwa ikulu si mchezo si lelemama amekata tamaa hana jipya tena ahadi aliahidi na kuwadanganya wadanganyika zimeyeyuka,hapendi kuonana na watanzania anajiinamia chini anaona bora ajifariji kwa kusafiri sana kumbe hajua ndio anazidi kututia umaskini.marejesho ya safari zake yakowapi.
   
 20. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mkimuita Vasco Da gama mnampaisha sana, maana Vasco aligundua kitu sasa huyu amegundua kitu gani? huyu ni ZUMBUKUKU na CHIEF MANGUNGO.. zee zima kubembea ina huu???
   
Loading...