Consigliere
Reaction score
16,704

Profile posts Latest activity Postings About

 • I like your perspective on the justification
  of the profile pic. Enways, it is true I was
  bedridden, but sasa am doing well and good.
  Thank you for checking up on me....
  Dah! Well you will have to forgive me
  let me take a moment on your profile pic
  before I reply to your vm....
  Kwangu mimi nimepata Breathing place.
  I don't celebrate, But i do like the fact kua it
  is celebrated for it is as if a corner stone of
  asking one'self "what have we achieved so far?"

  Are you good?
  Hey "AGAIN" was not around for long....lol
  vipi are you celebrating Miaka 50 ya Uhuru
  effectively? Hope you are good.
  Got your message Consig'
  was not around for a while.
  I believe you are well and good.
  Hi thea Sniper....

  Thank you, i am humbled to be among your friends...

  Nimesoma your message katika profile.. iko too poweful
  and full of feelings, napenda the facts umetoa - sijawahi
  observe from the angle umetoa... Nimerealize kua hio ya
  wawakilishi is so true.... Enways...

  Pamoja Saana
  ADI
  Hatuitaji kufiga mfano wa nchi, bali tunaitaji kufuata wito wa kiroho ambao msukumo wake umejengwa na mahitaji halisi ya kinyakati na kimazingira tuliyonayo, ni suala la utashi unaojali heshima na utu wa mtu pia mazingira anayoish.
  Pamoja na nasaha zote t kutoka kila kona wakaayo wenye hekima kutaka tudumishe amani upendo na uvumilivu katika kipind hiki, tutumie fursa hii kuwataka wala wanaotaka kutumia nasaa hizo kama ngao ya kufanya watakayo waache.
  Haiwezekan watu Mil 43, tuwakilishwe na mikoa mitatu katika kuchangia 'muswada',huu ni upuuz ufanywao na wachache ambao tukiwaita wajinga tutakuwa tunawatukana wajinga halisi. Wanahararisha kila kitu kwa kijikundi cha watu wachache kama walivyomilikisha uchumi wa taifa letu mikononi mwa wachache.
  Hilo hatulikubali,hata maeneo ambayo wameyateua kutuwakilisha hayana hata historia ya kutoa wakaazi makin
  Namaliza kwa kusema msingi wa jambo lolote zuri lifanyikalo katika uso wa dunia ni kuzingatia na kustawisha heshimu ya utu miongoni mwetu
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top