Tanzania ni ya nani hasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni ya nani hasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eiyer, Aug 10, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi zimeenea kuwa makabila yote isipokuwa mawili tu yaani Wasukuma na Wagogo,mengine ni ya wakuja kwa kifupi sio hasa wastahili wa kua hapa Tanzania,na jamaa mmoja akadai kuwa ndo chanzo cha watu hawa kutokuwa na uzalendo,hii imekaaje?
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Aliyekupa uongo huu anajua kudanganya. Kwani hata kama ni wakuja, tuchukulie wewe sio hayo makabila ulotaja, ipo akilini mwako sasa kuwa Tz si yako hivo usiwe na uzalendo? Kama huna uzalendo na Tz basi na nchi yako hiyo mama. Kwa akili ya kawaida hii inawezekana. Naamini hata kama kweli yooooote ni ya kuja, suala la uzalendo haliwezi kuhusiana kwa zama hizi.
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tz ni ya Kijwete, Rostam, Chenge na Lowasa!
   
 4. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45


  huyo kwenye nyekundu si ni msukuma!!!?? au gamba lake ndo uzalendo unaotakiwa kwa tanzania!!!??
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aha kumbe nyie bado mnazungumzia Tanzania, wote ni wkuja na kuburuzwa. Nilifikiri mnazungunzia Tanganyika?
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tanzania ili zaliwa 26 April 1964 baada ya muungano. Je, makabila uliyoyataja ndo yalikuwepo na mengine yamekuja baada ya hapo?
   
 7. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,959
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Tanzania ni ya Mfalme Kikwete, familia yake na marafiki zao.
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi kabila langu nchi jirani wanadai limetoka Tz, sasa kwa hili lako sijui nitakuwawapi hasa
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na shimbo
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wamarekani wanaipenda marekani yao, lakini wameoriginate kutoka sehemu mbalimbali, kikubwa tujifunze kuipenda nchi yetu
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Africa inaweza kuungana kama mambo haya tutaweza kuyamaliza,lakini inaonekana ni kazi nzito!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wasukuma nao si raia(km unavyotaka iwe) wana asili ya Ethiopia kamanda labda Wagogo tuu
   
 13. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unataka kutuambia hao wasukuma na wagogo walikuwa wanaishi hata kule makete, nachingwea, handeni, tukuyu, mlingotini, ikwiriri, hata kule Kalya kigoma kabla ya wakoloni kuja Africa?. Hilo haliwezekani, unless unataka kutuambia Tanzania ni mikoa ya Dodoma,Shinyanga, Mwanza na wilaya ya Nzega tu.
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mkuu hiyo sio kauliyangu naomba usome na unielewe,hata mimi nimeuliza kama kuna ukweli!
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tanzania haina mwenyewe-ila tanganyika ina wenyewe ambao wamelazimishwa kuiacha na kubanwa wasiidai
   
Loading...