Dr. Slaa na CHADEMA, mpo wapi?

Topetope

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
277
30
Kwa muono wangu rais slaa chukuwa nchi hii doct kikwete pamoja na mawaziri wake wanasiri kuwa nchi hii wameishindwa baba tuko chini ya miguu yako plz fanya uwamuzi wa haraka baba tuna angamia

jitahidi mkuu uwaelimishe ndugu zako hasa kama unatoka mikoa ile ambayo watu wanaabudu ccm, wafungue macho wajiunge na CDM na kupiga kura kwa chama hiki ambacho ndio mbadala wa ccm, kwani Dk Slaa hawezi kuchukua nchi kama hapigiwi kura

duh! Kweli ndugu yangu we umechoka nakushauri vumilia mpk 2015 sio mbali sana lkn wakati huo huo ukiwaelimisha ndugu,jamaa na marafiki kwamba ccm wameishindwa nchi wako busy kuvuana magamba hivo waipe ridhaa chadema, ukishafanya hivo hautalalama tena.

Watu wanaelewa nini kinaendelea ila umasikini ndo unawafanya waendelee kuilea ccm kwan kipindi cha kampeni mifuko inatuna,wanavaa nguo mpya na kula pilau.hvyo kazi tunayo kwan ccm ni kama imewaloga wananchi.pita pande za tanga utajua kua ccm ni noma.

Hv chadema wapo wapi muda kama huu?me sielewi kwann hawajaanda maandamano mpk saiv,zaidi ya siku 7 za mgomo wa mafuta??

au wao maandamano wanaandaa kma wakiwa wanataka madaraka tu mfn kule arusha na suala la umeya? Suala la jailo wapo kimya suala la mafuta wapo kimya,jaman mananiangusha chadema,andaeni maandamano jmn tuwashinikize hawa wahuni watoke madarakani,imefika muda tuwe kama watu wa london kwa kuchoma hivi vituo vya mafuta na mali za mafisdi pai. Ni kwa ujinga wetu watanzania ndo mana ccm wanatuendesha hv,we rais kalala hata hajaongea kitu mwezi mzima na chadema nao wapo kimya jaman amkeni tunazidiwa mpk na wamalawi?

Kashindwa kumaliza suala la madiwani wake Arusha kwa amani ataiweza nchi.

Kashindwa kumaliza suala la madiwani wake Arusha kwa amani ataiweza nchi.

Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini?
Hivi, wewe jana ulilalama kuhusu madiwani Arusha. leo umekuja na mengine. Nape hajambo. Vipi kuhusu magamba. Au una salama za shangazi wa magamba, CAFU?

Kashindwa kumaliza suala la madiwani wake Arusha kwa amani ataiweza nchi.

We mwehu nini ina maana huoni hata matatizo tuliyonayo?ungekuwa karibu na mimi hapa halafu unatoa maneno kama hayo,ungekuwa kibogoyo kwa mda wa 2 min .

Hv chadema wapo wapi muda kama huu?me sielewi kwann hawajaanda maandamano mpk saiv,zaidi ya siku 7 za mgomo wa mafuta??

au wao maandamano wanaandaa kma wakiwa wanataka madaraka tu mfn kule arusha na suala la umeya? Suala la jailo wapo kimya suala la mafuta wapo kimya,jaman mananiangusha chadema,andaeni maandamano jmn tuwashinikize hawa wahuni watoke madarakani,imefika muda tuwe kama watu wa london kwa kuchoma hivi vituo vya mafuta na mali za mafisdi pai. Ni kwa ujinga wetu watanzania ndo mana ccm wanatuendesha hv,we rais kalala hata hajaongea kitu mwezi mzima na chadema nao wapo kimya jaman amkeni tunazidiwa mpk na wamalawi?

Dr. Slaa na chadema wapo Arusha katika harakati za kujenga chama.

tuachanae na mambo ya kung'ang'ania chama bwana. Nahis tufike maali tuangalia potential people rather than a chama....nnapenda kumuangalia jembe Ben awamu ya tatu, japo alitoka chama hikihiki cha kijani, alikua na maamuzi na mtizamo wake tofauti sana, wether anakosea au anapata...mimi kwa mtizamo wangu, tusikae tu kumlilia Mchungaji Slaa maana hata yeye kiutendaji hajafanya makubwa sana....kwa mapendekezo yangu ata hiki chama cha kijani mtu kama Pombe Magufuli tunaeza kuingia nae mkataba kufanya maamuzi ya mwisho, vivyo hivyo Sitta, Prof Lipumba na hata mimi najiona kuwa mwenye uwezo wa kutosha

Jamaa si ana safari leo kasafiri kweli tujue kajiweka kwenye utali kuliko madaraka yake

Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini?
Hivi, wewe jana ulilalama kuhusu madiwani Arusha. leo umekuja na mengine. Nape hajambo. Vipi kuhusu magamba. Au una salama za shangazi wa magamba, CAFU?

Huyo magamba atuondokee hapa atufai kabisa. Aende Michuzi huyo.

Nakumbuka mwinyi aliwahi sema tz ni kichwa cha mwendawazimu na sasa yametimia. kiukweli watanzania wanashangaza sana tena sana...umeme mgao hadi wamezoea, viongozi kujibizana wamezoea, ufisadi wamezoea, police kuua wamezoea na sasa tatizo la mafuta watazoea tuu na kuishia kupiga kelele tuu.

Nashangaa kuona wapinzani kutochukua hatua yoyote. huu ni upumbavu tena wa hali ya juu na unadhihirisha ni jinsi gani watz vilaza....tuamke jamani. ukilaza hauna faida.

Chadema ni, chama makini na kina watu makini, hata maamuzi yake ni makini sana.
hawa jamaa wa Chadema ni watu makini.
Wengi wao umri wao ni wa kati, lakini wanafanya mambo ambayo yangefanywa na watu wa wakati wa nyerere.
Sidhani kama wanaweza kukurupuka ktk hili

Hakuna umeme, hakuna mafuta, maisha magumu, bei ya vitu juu, ufisadi unazidi kupamba moto. Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Mdehe, Lema, Lisu...Jamani itisheni maandamano tuchukue nchi. Huu ndo wakati wenyewe!!

Back
Top Bottom