• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Candid Scope
Reaction score
172

Profile posts Latest activity Postings About

 • VIKWAZO
  mkuu tunaona hutuwekee na hotuma ya LEMA kipande alichotajwa ZOMBE ili tuende sawa
  kwenye hiyo pos yako ya ZOMBE
  hiyo hapo chini

  Mheshimiwa Spika, katika matukio yote ya mauaji yanayolihusisha Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vya Tanzania, utaratibu huu wa kisheria haujawahi kufuatwa. Aidha, ukiachia matukio ya mauaji yaliyomhusisha aliyekuwa Afisa Upelelezi wa Jinai wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na wenzake ambao hata hivyo waliachiwa huru, matukio mengine yote ya mauaji hayajawahi kuchunguzwa na wahusika kufikishwa mahakamani. Huu ni ushahidi tosha kuwa serikali yetu kupitia Jeshi la Polisi na vyombo vyake vingine vya usalama imekuwa ikiua wananchi wasio na hatia.
  RedDevil
  Hahaha, Tabora School ni shule mojawapo zenye historia mkuu! niliwahi kusoma enzi hizo, kitambo kidogo! kuna Tukutuku sijui unapapata, kuna Ng'ambo kwenye pilao, kuna National Housing, kuna Uhaziri mambo ya vyuku nk. Karibu sana mkuu!
  The Invincible
  The message should be sent to one of these lads: Invisible or Maxence Melo.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top