Methali: Ukicheza na mbwa siku moja atakufuata hadi msikitini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Methali: Ukicheza na mbwa siku moja atakufuata hadi msikitini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwetu Iringa, Aug 10, 2011.

 1. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nadhani mnaikumbuka hii methali. CCM wamecheza na mbwa (wafanyabiashara) hadi amewafuata mskitini!! wafanyabiashara wamekuwa marafiki wa ccm kwa muda mrefu sana. Wkati wa chaguzi wanakwenda kuchukua pesa za campaign kwao. Na wafanya biashara wengi, kama siyo wote, ni wanaCCM. wafanya biashara ndiyo wanafadhili shughuli zote za CCM.

  Lkn sasa wafanya biashara hao hao wameiguka CCM. wamewafuata hadi msikitini. Wanataka serkali ya CCM isitawalike. Wamegoma kuuza mafuta kwa bei ya CCM. Bila mafuta serkali itatawalika kweli?? Au kwa vile waTZ ni kuku wa kizungu?? Umeme wa shida. Watu wengi wanatumia mafuta kuwasha magenerator. Si nchi yote itakuwa giza??

  Kwa sasa serkali haiwezi kuwafanya chochote wafanya biashara biashara kwa sababu ni maswahiba wao. Viongozi wengi wa serkali wamengia ubia na wafanyabiashara hao. Na viongozi wengi wamo kwenye biashara ya kuuza mafuta na biashara nyinginezo. JK na R1 wana vituo vya mafuta vinaitwa AFROIL, viko nchi nzima. Mwisho wa siku serkali itasalimu amri tu. Hawana ujanja.

  CCM inasema maandamano ya CDM yataifanya nchi isitawaliwe. Je, hawa wafanyabiashara wamechochewa na maandamano ya CDM?? Je maandamano ya CDM yamefanya umeme ukosekane??

  Kukosekana kwa mafuta na umeme ndiyo vitafanya nchi hii isitawaliwe. Tujiandae kwa mambo ambayo hatujawahi kuyashuhudia toka tupate uhuru wa bendera.

  Nchi hii haina uongozi kabisa, waliopo ni wasanii tu.

  Nawasilisha
   
Loading...