Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

EAST AFRICA HERALD: Africans: Surviving at the mercy of others?
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Huyu wabunge wenzie wanasema is the most arrogant MP in the house. Anamfanyia fitna Ngeleja kwa kusubiri akalie kiti na mimi naona huyu naye inabidi naye aondoke kama wakati lile fagio la chuma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kama kuna mambo yanakera katika Mamlaka hii ni upendeleo katika kupata ajira. Yaani ili upate ajira lazima ujuane na wakubwa. Hakuna haki hata kidogo. Nitawaletea vielelezo vya jinsi watu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Rais Kikwete na serikali yake walipandisha bei ya mafuta ya Taa kwa kisingizio cha kuzuia uchakachuaji. Mwenyekiti Kikwete wa CCM, wamesema bei ya mafuta ishushwe! Jamani mbona sielewi, utendaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
akitoa shukrani hadi kwa wanyama wake kakaukiwa na koo hadi kaomba maji ya kunywa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inasemekana kuwa Synovate Wamechakachua Kura za maoni walizotoa Juzi kuwa Dr.Slaa anaongoza, Source ya Mtu anayefanyakazi katika Shirika hilo alisema kuwa Kikwete pia alishindanishwa katika maoni...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Napata uchungu sana napoona serikali yetu ilivyo dhaifu, kiasi hata inashindwa kusimamia maagizo yake. Serikali ilitoa agizo la kushushwa kwa bei ya mafuta. Tena agizo likasisitiza kuwa...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Hivi kuna nchi yoyote duniani imepata maendeleo kutokana na misaada inayoletwa na tunaowaita wahisani? Au ndo inatuongezea umaskini?Mi najua maendeleo tunajiletea wenyewe! China, Marekani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dear President Kikwete, Just Because.... that you have failed us over and over again that you have not worked hard to fight corruption that you seem to not remember any of your promises that you...
1 Reactions
171 Replies
18K Views
KUTOKANA na hali ya kisiasa nchini ilivyo sasa pamoja na mjadala wa Bunge kupamba moto huku baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakitimuliwa ndani ya Bunge kwa madai...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilihudhuria kikao cha halimashauri(w) ya Geita (ful counc.) mwezi uliopita, meza kuu ilikuwa imekaliwa na viongozi wa serikali na viongozi wa CCM. Kwa kweli mfumo huu ulinikumbusha enzi za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAIPONGEZA serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuizawadia hoteli ya Kempinsky zawadi ya eneo la mahakama. Ninaamini serikali yetu ipo kwenye mji usiostahili kuwepo, na kutokana na hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana jf Nimefuma mjadala huu ambao unaendelea sasa naona unaratibiwa na Mabere Marando
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This is the trend of the number of parliamentary seats obtained by CCM in 1995-2010 elections. The data analyzed is from African Elections Database. It looks like CCM votes have remained constant...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nimeuliza swali hili kwa machungu makubwa sana, wakulima wa karagwe pamoja na kuangaika katika kuudumia kahawa, hawapewi chochote mfano pembejeo za kilimo, lakini pamoja na kuhudumia kahawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Monday, 08 August 2011 06:49 Mac Tom Dar es salaam, TANZANIA — Tanzania could have eased the power rationing that is currently...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Punde kidogo hivi, shirika langu limeniambia kuwa limeamua kugeuza sehemu ya mkutano wake mkuu kutoka Tanzania. Hili ni shirika la kimataifa na kwa muda wa miezi kadhaa sisi wengine tumekuwa tuki...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
HOFU imetanda serikalini ya kuanikwa kwa taarifa za mazungumzo ya siri kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa serikali ya Marekani, MwanaHALISI limeelezwa. Tayari mtandao wa WikiLeaks...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom