Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hili ni swali ambalo ninajiuliza kila wakati, huenda hata wewe umeshajiuliza au unaweza kujiuliza kuwa hivi haiwezakani utaratibu mwingine wa kuongoza nchi ukabuniwa na kusabababisha nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge wetu kwa siku za karibuni wanaonekana kama wamekosa ustarabu tuliouzoea toka chama kimoja na hatimaye vyama vingi vya (uwoga). Nimesiikiliza kwa makini mitafaruku ya wabunge wetu mpaka...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Kwanza kauli hii ni kwa niaba ya sisi vijana 20, najua wapo wengine pia..... Napenda kukupongeza kwa juhudi yako wewe pamoja na wabunge wengine kwa kuipigania haki yetu watu wa hali duni...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Pamoja na kwamba CHADEMA ni wazuri sana katika kujenga hoja na katika hotuba zao lakini natamani wana JF mjaribu kuweka maoni yenu hapa juu ya mambo ambayo ni muhimu wananchi wakayasikia siku ya...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Endapo tunataka kufanya mabadiliko inatubidi tuwe makini tusije fanya mabadiliko ya kumuweka kiongozi atakaye kuwa kioja, hivyo inatakiwa tuwe makini kwani upande wetu wa upinzani tunaudhaifu ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka. Je wana JF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Godfrey Ismaely Dodoma WAZIRI Mkuu Bw. Mizengo Pinda amekiri kuwapo mazungumzo baina ya ofisi yake na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu mgogoro wa umeya Arusha kutokana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimevutiwa na dukuduku hili nililolifumania jana likitafutiwa ufumbuzi na mamlaka husika bila kupata jibu nikaamua kujaribu kutafuta ukweli wake mwenyewe kwa niliyoyasikia kwa kulinganisha ya...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Nataka kujua kesi ya utajiri wa mwana wa mkuu wa kaya Rizone imefikia wapi, baada ya magazeti kuandika kuwa ameifungua. Kipindi hiki ambacho wauza mafuta wamesitisha kutuuzia mafuta wakita...
4 Reactions
74 Replies
9K Views
So far hatumwoni wala kumsikia waziri kivuli husika wa CHADEMA juu ya hili sakata la mafuta. Kulikoni?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hali mbaya na Matatizo yote ambayo wananchi wanayapata kwa sasa ni haki ya msingi.Hii ni kutokana na kutokuweka utaratibu(kikatiba na kisheria) kwa tunaowapa nafasi katika taasisi za uma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefinywa sikio toka chanzo cha uhakika kwamba madiwani waliotimuliwa na kamati kuu ya CDM watakwenda mahakamani kuomba zuio la mahakama dhidi ya uamuzi wa chama chao.Zuio hilo uenda likazuia pia...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunaomba updates za huko arusha! Na wakati wakihutubia hao makamanda mtujuze pia wanasema nini kuhusu kauli ya Pinda leo bungeni kwamba "walichakachua kauli yake" kuhusu kuongea nae. Pinda anadai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumbe Mbowe na Dr Slaa waliofuata Pinda Dodoma, kuomba Muafaka! Kawakana kasema CDM wametunga hayo maneno kuwa tumekubaliana na CDM kuanza mazungumzo ya mgogoro wa Madiwani wa Arusha. Pinda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MUNGU WETU ANATUPENDA NA ANAIPENDA TANZANIA. AMETUPA AKILI YA KUJUA MEMA NA MABAYA YA VIONGOZI WANAOITAWALA TANZANIA. SASA KWA SABABU TUMEJUA NA KUTUPA AKILI TUKAWA NA MAGEUZI YA KWELI NI LAZIMA...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Namnukuu Zitto kutoka huko ughaibuni Zitto Zuberi Kabwe to wanabidii s Naomba nisahihishe tafadhali. I am currently writing a PHD proposal and my admission depends on my the submission of...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Waliotazama habari ya tbc0ne wamemuona john tendwa alichosema eti wabunge wana muabisha na kwamba wananchi wanamuuliza hivi vyama vyako vipi....???? Na yeye anataka wabunge walinde heshima yake...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ninatokea kibamba kuelekea town. Vituo vyooote havijafunguliwa. Hivi ule mkwara wa Ngeleja ulikuwa geresha tuuuuuu? Aaaaagh! Hatimaye makampuni yameufyata kwa serikali BP na Engen wameanza...
2 Reactions
422 Replies
36K Views
Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom