Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni matokeo ya tamaa ya madaraka, ung'ang'anizi na ufinyu wa fikara, uelewa na tafsiri mbovu ndivyo vinavyotupelekea wanadam kufikishana hapa. Tuweke pembeni hilo, kwa sasa kwani si muda wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masuala nyeti yanayohitaji ufumbuzi wa haraka na ufafanuzi wa serikali yalitegemewa kufanyiwa kazi katika siku hii, kwa sasa hilo halipo tena ni bora muda huo ukatumiwa kwa shuguli nyingine za...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Tanzania kama inchi nyingine barani Afrika baada ya uhuru ilikuwa katika kipindi kigumu ikipitia katika mfumo wa Kikoloni ambao ulikuwa wa kebapari zaidi, wakati huo huo ikijaribu kujenga mfumo...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
HUKU CCM ikiwa imefungua milango kwa wanachama wake kujitokeza kuchukua fomu juzi za kurithi ‘viatu' Rostam Aziz, wanachama watatu wa Chadema wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi wanalalimika kuwa kuna tatizo la mafuta; wafanyabiashara wanasema hawana mafuta, serikali inasema wafanyabiashara wapunguze bei n.k Nimebaki najiuliza kuna uhusiano gani kati ya upungufu...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
ukweli huyu mzee mi ninamkubali ni mchapaka kazi sana,ila mbona hatowi kauli mapema ili watanzania waanze mikakati wa kumweka madarakani maana siku hizi watanzania ndy waamuzi.sasa mzee wng sema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Treni yasitisha safari kwenda bara *Nauli, vyakula mikoani bei zapanda *Wachumi watabiri hali mbaya zaidi Na Waandishi Wetu UPUNGUFU wa mafuta katika maeneo mbalimbali nchi umezidi kukolea na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bado sina taarifa za kutosha juu ya nini kiliendelea nyuma ya pazia juu ya muafaka wa Arusha uliopelekea kufukuzwa uanachama madiwani watano wa CHADEMA. Jambo moja, hata kama chama kilikosea...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Most dailies of yesterday reported that fossil fuel sellers bowed to Government decree but today some report that BP remained adamant. The agreement between the government and oil sellers is that...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Meya wa jiji la dsm mstahiki didas masaburi ambae yupo kwenye mvutano mkali na wabunge wa dsm baada ya kuwaambia wanafikiri kwa kutumia m.atako, leo hii(alhamisi) ameivunja bodi ya shirika la DDC...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hatimaye ule mkutano mkubwa na wa ukweli wa chama chetu cha Chadema utafanyika leo hapa a.town so hivyo jamani kaeni mkao wa kula natumai tutatoa kila tukio tutalileta hapa...
2 Reactions
324 Replies
28K Views
kufuatia njaa iliyokithiri somalia (haijawahi kutokea ndani ya miaka 60) Tanzania imeahidi kuisaidia Somalia tani 300 za mahindi. Huu ni moyo wa utoaji na hakika likiwa limefanyika kwa moyo...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
With all these scams emerging day by day ... where are we really heading to? Which stone is not turned?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Raia Mwema Ughaibuni Twajifunza nini na vurugu hizi za Tottenham, London? Evarist Chahali Uskochi 10 Aug 2011Toleo na 198 WIKI iliyopita nilibahatika kuwasiliana na mtu ninayeamini (japo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania sasa tuongelee sifa za waofaa kuongoza nchi yetu na si kuongelea majina ya watu.Sifa za kiongozi anayefaa kuongoze ziteonyesha dhidi mhusika alivyo na nia njema ya kuongoza.Kuongelea...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Compliance order ya 24hrs kwa makampuni manne ya mafuta iliisha jana,makampuni matatu yalianza kuuza mafuta toka jana ila BP yaonekana bado wamegoma. Cha kushangaza EWURA wanajikanyaga kanyaga tu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau toka jana nimejaribu kutafakari pasipo kupata majibu sahihi kuhusu gazeti linalo itwa Sauti Huru na habari zake zzote zimekaa kishabiki na kichochezi ambapo hazina hata uzito na mashiko hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ni siku ya pili tokea tamko litolewe na Wizara,ni dakika chache zimepita toka nijaze full tank yangu kwa kituo cha BP,huu ni ushindi kwa EWURA,WIZARA,na SERIKALI kwa ujumla...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom